Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio mtazamo wa kiumeKama kliniki nimepigiwa mpaka simu sijaenda, sembuse labour 😃😃
Naweza kwenda labour na bado nikampiga marufuku kupata contraceptives.
Uchungu na mambo kama hayo yanabaki kuwa ni sehemu ya safari ya maisha yake hakubadilishi uhalisia wake wa asili.
Ni sawa na mimi nimerudi nyumbani nimechoka hata asiponipa pole kesho asubuhi LAZIMA niache kodi ya meza
Inategemea mbona wakunga wa kiume wanaenda labour na kuzalishaMh ila kwenda kushuhudia inataka moyo. Nakumbuka mwanangu wa kwanza nimepelekwa bugando, naingia tu pale nikakutana na mama anajifungua nilipagawa na uchungu ukaisha mpka wiki mbili mbele ndo nikaja kujifungua mpka leo ile picha ipo akilini na ni zaidi ya miaka tisa sasa sijui kwa mwanaume itakuaje
Na wale wanazaa akina sikujua wataenda na nani?Mimi wangu nilishampa taarifa mapema kabisa kuwa nataka awe karibu yangu wakati najifungua
Vip wale manes wa kiume wanao zalisha??Kutiana moyo sio lazima uwe naye karibu wakati wa kujifungua, vitu vingine tusiige wazungu jamani, hii inaweza kuwa na athari kubwa sana kiakili, haina tofauti na kumwangalia mwanamke huko akiwa kwenye siku zake, hii inaweza kukuvuruga sana ukapoteza muelekeo. Vitu vingine sisi wanaume hatupaswi kutizama isipokuwa tu vinapokuwa kwenye hali nzuri......
Siwezi Anko,sipo tayari kumpoteza rafiki yangu kisa mtoto.ooh pole, ndio ukashindwa kumuongezea mwenzie.... Mungu ni mwema ongeza mwingine [emoji2]
Mkeo ana raha....mpe hongera zake 😃Siwezi Anko,sipo tayari kumpoteza rafiki yangu kisa mtoto.
Ukitaka mwanaume afunge kwa lazima uzazi basi ahudhurie sehemu ya kujifungulia mwenzi wake.
Sishauri kabisa wanaume washuhudie mke akijifungua. Huruma inayo kuja pale nasema haki ya Mungu hauwezi kumtendea mabaya mke wako. Kama mwanaume anataka ampende mke wake, basi, ashuhudie anavyo jifungua.
Mkuu fafanua kidogo hapa. Dini gani hiyo inayokataza Mume kutazama tupu ya mkewe? Kama uliambiwa ni Dini ya Uislam, basi aliyekuambia kakosea.Lakini kuna point nyingine nimewahi kuisikia kwenye dini ya ndugu zangu kuwa mume hupaswi kuutazama utupu wa mke wako😀😀
I think it can be a traumatizing experience...nahisi nawaelewaUliyeandika huu uzi ni mwanaume au mwanamke?
Kama ni mwanaume, unakuaje muoga muoga hivyo!!
Kwa kweli nawaelewaMh ila kwenda kushuhudia inataka moyo. Nakumbuka mwanangu wa kwanza nimepelekwa bugando, naingia tu pale nikakutana na mama anajifungua nilipagawa na uchungu ukaisha mpka wiki mbili mbele ndo nikaja kujifungua mpka leo ile picha ipo akilini na ni zaidi ya miaka tisa sasa sijui kwa mwanaume itakuaje
Nafikiri ni hiariMambo ya kijinga tu.
Badala ya kusisitiza wanaume waplay part ya uanaume na baba wanaona Hilo ndio la muhimu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ahya poa,Agizo na pendekezo lifuatalo ni wanaume wote nao waanze kubeba ujauzito [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu amjaalie afike safari yake salama salminShukrani saana ndugu yaangu, dua zako zikubaliwe,
Ubarikiwe saana mkuu.
Nisingekutonya dua hizi ningezipata saa ngapi🔥
Mbona ata pale Aghakan ni mambo ya kawaida. Sio tu kujifungua kawaida, Ukitaka ata operation ya uzazi unaona na kusubiri furaha yenu pembeni.
Shemeji habari ya siku nyingiMungu amjaalie afike safari yake salama salmin
apakate mwanae shangazi nije kumfinya vishavu vyake[emoji2][emoji2]
mimi wangu naona atazimia mana ni muoga wa hizo habari vibaya sana