Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inafanyika sana, naamini hawakiuki miiko ya uuguziMkuu sina hakika na hilo!
Ehehe wachacheMadam tuna waheshimu sana wanawake.
Kwan wewe by age ni namba C,D au E?Hadi sijaachika hadi sasa ujue kaka yako kazikubali swaga zangu, wakati ananioa alijua nipo hivi
Niite shangaziKwan wewe by age ni namba C,D au E?
Shikamoo ShangaziNiite shangazi
Amin, Na ndo maana tunawasih msiwe wasili kama Uncle, Utaskia tu nmepata mtoto wa kiume. Tutataka kujua umempatapataje. Dua nene.Shukrani saana ndugu yaangu, dua zako zikubaliwe,
Ubarikiwe saana mkuu.
Nisingekutonya dua hizi ningezipata saa ngapi[emoji91]
Sishauri wanaume waingie labour room mke wake anapojifungua. Inabidi muwe mnawaombea zaidi mke na mtoto muda huo, maana ni kipindi kigumu sana muda ule.
Pia majukumu yenu myafanye kwa ufanisi sana hasa malezi ya watoto na familia kwa ujumla maana nyie ni vichwa vya ffam
Jamaa unanionea 😀😀 mimi sijaonyesha uoga ni mtazamo wangu,siunaona trends za wachangiaji zinavyokatika?Yes na No za kutosha na ushauri wa aina mbalimbali tunapata.Uliyeandika huu uzi ni mwanaume au mwanamke?
Kama ni mwanaume, unakuaje muoga muoga hivyo!!
Dada unaushauri mzuri sana pale mwisho ulivyomalizia,nahisi wewe ni mke bora kwa mume wako kama huna Mungu akujalie nakuombea.Sishauri wanaume waingie labour room mke wake anapojifungua. Inabidi muwe mnawaombea zaidi mke na mtoto muda huo, maana ni kipindi kigumu sana muda ule.
Pia majukumu yenu myafanye kwa ufanisi sana hasa malezi ya watoto na familia kwa ujumla maana nyie ni vichwa vya familia.
Sheria bro?😀😀😀 watu watalala juu ya miti.Mimi ni wa kwanza, nitaingia nikiipata hiyo nafasi
Wakunga wa kiume wanazalisha na hawaogopi, iweje wewe mwanaume uogope.
Vijijini mbona wanaume huitwa pindi mke anapotaka kujifungua ili wakatoe msaada, mara nyingine unakuta mwanaume pekee anamsaidia mke wake kujifungua japo inaweza kuwa ni sababu ya kukosa msaada kutoka kwa wengine.
Hii kitu kama vipi itungiwe sheria iwe ni lazima tuwe tunawashuhudia wake zetu wakiwa wanajifungua[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji125][emoji125][emoji125]
MarahabaShikamoo Shangazi
[emoji23][emoji23]Sasa wee si ndo mhusika si mnasemaga hebu tujazie jazie miguu ya mtoto[emoji1787][emoji1787]Mi mniuwe siendi, yani ni shuhudie kile kichwa kinapotoka aise naweza poteza hisia.
Hapo ndo siku unashuhudia mdogo wqko anazaliwa Maana wewe ni 1st born.[emoji23][emoji23]Sasa wee si ndo mhusika si mnasemaga hebu tujazie jazie miguu ya mtoto[emoji1787][emoji1787]
Mkuu, you spoke my mind.Jana niliulizwa swali hili na mke mtarajiwa, nikamjibu kuwa SITAWEZA.
Akauliza “Kwanini?” Nikamueleza kuwa ‘Nachelea nikikuona labor nitapoteza hamu ya kushiriki tendo nawe’.
Kimsingi ninaamini kuwa utamu wa penzi (kujamiiana) unaenda sawa na saikolojia, yani vile unavyomchukulia mtu unaeshiriki nae. Na Penzi huwa tamu zaidi pale unapokuwa hujui hasa cha kutegemea (being not familiar, not knowing it to the T). Hii inaeleweka vyema kabisa wakati wa penzi jipya.
Mbali na kuwa nitakuwa namjua mke ila bado sitakuwa naijua hasa tabia ya Uke wake mpaka nitakapoingia huko ‘Labor’.
Binafsi sitaingia kwa kuchelea nitapoteza hamu na mke wangu jambo litaloweza hatarisha ndoa yangu na ustawi wa mtoto wetu.
Ujinga tu!Hii nikiifanya kwa second born. Nadhani kuanzia pale sikuwahi kumdharau tena mwanamke