Wanaume gani watakubali kuingia na wanawake wao kwenye chumba cha kujifungulia?

Wanaume gani watakubali kuingia na wanawake wao kwenye chumba cha kujifungulia?

Mimi ni wa kwanza, nitaingia nikiipata hiyo nafasi

Wakunga wa kiume wanazalisha na hawaogopi, iweje wewe mwanaume uogope.

Vijijini mbona wanaume huitwa pindi mke anapotaka kujifungua ili wakatoe msaada, mara nyingine unakuta mwanaume pekee anamsaidia mke wake kujifungua japo inaweza kuwa ni sababu ya kukosa msaada kutoka kwa wengine.

Hii kitu kama vipi itungiwe sheria iwe ni lazima tuwe tunawashuhudia wake zetu wakiwa wanajifungua[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji125][emoji125][emoji125]
Safiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kliniki nimepigiwa mpaka simu sijaenda, sembuse labour 😃😃
Naweza kwenda labour na bado nikampiga marufuku kupata contraceptives.
Uchungu na mambo kama hayo yanabaki kuwa ni sehemu ya safari ya maisha yake hakubadilishi uhalisia wake wa asili.
Ni sawa na mimi nimerudi nyumbani nimechoka hata asiponipa pole kesho asubuhi LAZIMA niache kodi ya meza
 
Safi sana My president, kwanza tulichelewa Sana,baba atakavyoona mtoto anavyozaliwa,Respect kwa mama na mtoto itakua imejijenga ndani ya moyo wa kiumbe huyu anayeitwa mwanaume
 
Kama kliniki nimepigiwa mpaka simu sijaenda, sembuse labour [emoji2][emoji2]
Naweza kwenda labour na bado nikampiga marufuku kupata contraceptives.
Uchungu na mambo kama hayo yanabaki kuwa ni sehemu ya safari ya maisha yake hakubadilishi uhalisia wake wa asili.
Ni sawa na mimi nimerudi nyumbani nimechoka hata asiponipa pole kesho asubuhi LAZIMA niache kodi ya meza

umetisha mkuu
 
Mmh mamaee hapana yaani nione kichwa kinatoka mkuma unapanuka midamu na mimaji mimaji ya uzazi

Ile picha itanata kwenye ubongo yaani unaweza kupoteza hisia nae

Hata kwa bunduki siingii
 
[emoji849][emoji849][emoji849] We mama umeniogopesha, Kwema kwel?
Nipe jibu kwanza, unaogopa nini? Iweje muone mwanamke anadhalilishwa wakati hayo yanayofanywa kwa wanawake na wanaume wamo? Je hao hawadhalilishwi?
Na iweje muone ni udhalilishaji wakati mtu kataka mwenyewe kwa akili zake? Nieleweshe
 
Sii kama hivyo inavyoonekana kwenye porn ama wee unaonaje?
Unaona kwa wanawake tu hujaona wanaume huko kwenye porn wakifanyiwa hicho hicho wanachofanyiwa wanawake? Hujawahi ona mwanaume akipigwa miti?
Halafu sijaelewa kwanini iwe ni udhalilishaji, nani kadhalilishwa?
 
Ila kweli usemalo...maana dah ata wanaume wanapigwa miti 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom