Wanaume gani watakubali kuingia na wanawake wao kwenye chumba cha kujifungulia?

Wanaume gani watakubali kuingia na wanawake wao kwenye chumba cha kujifungulia?

Sasa wale wanafanya kwa raha zao au kutafuta pesa....kwa wale wanaofanya kwa raha zao kweli full burudani
Wanatafuta pesa kwa namna waliyoichagua hawajalazimishwa na ni watu wazima ndio maana hawa human rights activists hawajawahi kuwatetea
 
Daaah ushampga uyo Dada, Ngoja aipate mimba ndo ataisoma kumbukumbu la waongo 8;10
Ukisoma tena, utanielewa..

Nikupe za chini ya kapeti, mke wangu kwa sasa ni mjamzito, panapo majaaliwa akifika muda wa kujifungua salama, na nikapata nafasi ya kuingia nae leba, nitaingia pasina kusita,
tushazungumza mara nyingi hili, japo yeye huwa anahisi ni utani, japo pia huwa tunaongea kimasihara zaidi.
 
Nipe jibu kwanza, unaogopa nini? Iweje muone mwanamke anadhalilishwa wakati hayo yanayofanywa kwa wanawake na wanaume wamo? Je hao hawadhalilishwi?
Na iweje muone ni udhalilishaji wakati mtu kataka mwenyewe kwa akili zake? Nieleweshe
Tatzo unaamini katika 50/50 ukishindana matendo na Mwanaume hutoolewa Kamwe, Komaa utapata jibu.
 
Unaona kwa wanawake tu hujaona wanaume huko kwenye porn wakifanyiwa hicho hicho wanachofanyiwa wanawake? Hujawahi ona mwanaume akipigwa miti?
Halafu sijaelewa kwanini iwe ni udhalilishaji, nani kadhalilishwa?
Njoo tucheze afu tupost uone kama tutatoka Dro maana huoni ajabu wewe[emoji849]
 
Unadhani au ndivyo ilivyo? Pale aga khan na hospitali nyingine duniani wanaenda kinyume na miiko ya uuguzi?
Ila Mademu mna matatzo sana, Kwahyo asipokuepo mjuba huzai au utamzaa Yesu akiwepo? Ndo maana mnanyongo watoto siku hizi..
Mtu mwenyewe anaelilia uwepo kumbe unaenda kushuhudia Visu hata kusukuma ameshindwa.
 
Tatzo unaamini katika 50/50 ukishindana ma tendo na Mwanaume hutoolewa Kamwe, Komaa utapata jibu.
50/50 inatoka wapi? Mimi sipo huko.
Yaani uniambie kuwa kuwa wanawake kwenye porn wanadhalilishwa lakini wale wanaume wanaowafanyia wenzao blowjob na kupigwa miti kisawasawa ni marijali? You are not serios.
Na inakuaje ni udhalilishaji?
Nimeolewa 18 yrs now na sioni dalili ya kuachika.
 
Ukisoma tena, utanielewa..

Nikupe za chini ya kapeti, mke wangu kwa sasa ni mjamzito, panapo majaaliwa akifika muda wa kujifungua salama, na nikapata nafasi ya kuingia nae leba, nitaingia pasina kusita,
tushazungumza mara nyingi hili, japo yeye huwa anahisi ni utani, japo pia huwa tunaongea kimasihara zaidi.
Hatimaye nimefanikisha, mpaka umenitonya uhalisia wa mambo nje ya jf.
Hongera sana nakuombea Upate Mwana mtulivu akuwe your Right helping hand.
 
Njoo tucheze afu tupost uone kama tutatoka Dro maana huoni ajabu wewe[emoji849]
Anayecheza means ametaka kuonekana kwa matakwa yake haiwezi kuwa udhalilishaji.
Udhalilishaji ni kama mtu amepostiwa bila idhini yake. Sasa watu waamue kujirekodi kwa lengo la kujipatia pesa na kuifurahisha dunia useme amedhalilishwa. How?
 
50/50 inatoka wapi? Mimi sipo huko.
Yaani uniambie kuwa kuwa wanawake kwenye porn wanadhalilishwa lakini wale wanaume wanaowafanyia wenzo blowjob na kupigwa miti kisawasawa ni marijali? You are not serios.
Na inakuaje ni udhalilishaji?
Nimeolewa 18 yrs now na sioni dalili ya kuachika.
Woooow, Kumbe apo unatetea ile siku ya Labour usiwe mnyonge.
Kwanza hongera pia come down (ukuje chini) achana na hawa wanawake wa kisasa utakuja kunikumbuka siku ukiachika.
 
Anayecheza means ametaka kuonekana kwa matakwa yake haiwezi kuwa udhalilishaji.
Udhalilishaji ni kama mtu amepostiwa bila idhini yake. Sasa watu waamue kujirekodi kwa lengo la kujipatia pesa na kuifurahisha dunia useme amedhalilishwa. How?
[emoji24][emoji24][emoji24] Allah nijaalie nisipate Mke wala binti kama Demi ataniharbia ukoo[emoji22]
 
Woooow, Kumbe apo unatetea ile siku ya ? Labour usiwe mnyonge.
Kwanza hongera pia come down (ukuje chini) achana na hawa wanawake wa kisasa utakuja kunikumbuka siku ukiachika.
Nije chini kivipi? Unafeel nipo juu yako?
Sioni tatizo mwanaume kuingia labor. Nilipojifungua mwaka 2004 baba mtoto alishuhudia na pia binafsi niliwahi ingia labor kipindi mdogo wangu anajifungua.
Hakuna tatizo anayeweza aingie asiyeweza asiingie.
Isiwe kitu cha kulazimishwa maana sio jambo rahisi
 
Hatimaye nimefanikisha, mpaka umenitonya uhalisia wa mambo nje ya jf.
Hongera sana nakuombea Upate Mwana mtulivu akuwe your Right helping hand.
Shukrani saana ndugu yaangu, dua zako zikubaliwe,
Ubarikiwe saana mkuu.

Nisingekutonya dua hizi ningezipata saa ngapi🔥
 
Jana niliulizwa swali hili na mke mtarajiwa, nikamjibu kuwa SITAWEZA.

Akauliza “Kwanini?” Nikamueleza kuwa ‘Nachelea nikikuona labor nitapoteza hamu ya kushiriki tendo nawe’.

Kimsingi ninaamini kuwa utamu wa penzi (kujamiiana) unaenda sawa na saikolojia, yani vile unavyomchukulia mtu unaeshiriki nae. Na Penzi huwa tamu zaidi pale unapokuwa hujui hasa cha kutegemea (being not familiar, not knowing it to the T). Hii inaeleweka vyema kabisa wakati wa penzi jipya.

Mbali na kuwa nitakuwa namjua mke ila bado sitakuwa naijua hasa tabia ya Uke wake mpaka nitakapoingia huko ‘Labor’.

Binafsi sitaingia kwa kuchelea nitapoteza hamu na mke wangu jambo litaloweza hatarisha ndoa yangu na ustawi wa mtoto wetu.
Dah!...
 
Back
Top Bottom