Wanawake wa aina yako mmebaki wachache sana,sikuhizi hakuna kuzoeana,kuchunguzana,kujuana n.k.mapenzi hayapo tena ,ni kutamaniana tu,sijui watu wako busy sana wanaona wanapoteza muda!mambo hayo ya kutaka kufahamiana yalikuwepo enzi za mwalimu...Sijamzoea mkuu ,nimeahangaa sana
Acha mambo yako nishasrma nimeweka passport sizeSasa kama DP yako umeweka uliyojibinua binua kwanini usilike kimasihara
Acha mambo yako nishasrma nimeweka passport sizeSasa kama DP yako umeweka uliyojibinua binua kwanini usilike kimasihara
Ata kama ni kutongozwa ndo siku ya Kwanza unioeleke kwako, ata hatujuani?Usipotongozwa uaanza kuzunguka kwa waganga kutafuta mchawi nani.
Point yangu ni kwamba ,hatufahamiani, then uniite kwako nyumbani, hiyo ni sawa? Itakuwa kashaita wanagapi kwenye magroup aliyopo?So me nikikuita tupige story pale Azure utachukulia hivyo? Kwamba kila anaekuita anataka ku do? What if it's business issues nmeona kwako itakua simple wote kutoboa? [emoji16]
Nenda ukaongeze cvPoint yangu ni kwamba ,hatufahamiani, then uniite kwako nyumbani, hiyo ni sawa? Itakuwa kashaita wanagapi kwenye magroup aliyopo?
Kabisaa mkuu, inashangaza saanaWanawake wa aina yako mmebaki wachache sana,sikuhizi hakuna kuzoeana,kuchunguzana,kujuana n.k.mapenzi hayapo tena ,ni kutamaniana tu,sijui watu wako busy sana wanaona wanapoteza muda!mambo hayo ya kutaka kufahamiana yalikuwepo enzi za mwalimu...
Daaah , jamaa kakosea kidogo saana aiseeHabari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.
Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu.
Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia amenipenda baada Aya kuona profile picture yangu na anaomba Leo niende nyumbani kwake .
Hivi hii inamake sense kweli?mtu humjui, then anaomba niende kwake, tukaonane, at least ata angesema anaomba Kwanza ntukutane somewhere tujuane , yaani anahisi anaweza NILA KIMASIHARA?
Em jamani wanaume mjifunze process za kumu approach mtu ,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.
Unamuona mtu Kwa dp unababaika wakati Hana uhakika kama hiyo picha ni yangu kweli. Nimekereka khaswaa.
Kuna shida gani ukienda kwake?Ata kama ni kutongozwa ndo siku ya Kwanza unioeleke kwako, ata hatujuani?
Sema jamaa mstaarabu sana, ingekua mimi ningesubiri siku ya hicho kikao tuondoke wote. Ndo nishakupenda tunajadili nini? Mapenzi yanatupotezea muda sana.Point yangu ni kwamba ,hatufahamiani, then uniite kwako nyumbani, hiyo ni sawa? Itakuwa kashaita wanagapi kwenye magroup aliyopo?
vile anavichati mtoa analika kirahisi lugha kiashiria tosha kabsaKwa hapa sisi hatujui ni wewe sasa huko W'app kwako ujitathmini,kama umeweka status umevaa nusu uchi na umekaa mikao miwili mitatu isiyoeleweka na picha za kutoa toa ulimi kama kinyonga anakamata mdudu obviously unalika kimasihara.
Jamaa siyo kwamba ni mgeni ni ana uzoefu wa kukamata watu wanaofanana na wewe labda utake tu kuonekana smart.