Wanaume hii ni sawa?

Wanaume hii ni sawa?

Sijamzoea mkuu ,nimeahangaa sana
Wanawake wa aina yako mmebaki wachache sana,sikuhizi hakuna kuzoeana,kuchunguzana,kujuana n.k.mapenzi hayapo tena ,ni kutamaniana tu,sijui watu wako busy sana wanaona wanapoteza muda!mambo hayo ya kutaka kufahamiana yalikuwepo enzi za mwalimu...
 
So me nikikuita tupige story pale Azure utachukulia hivyo? Kwamba kila anaekuita anataka ku do? What if it's business issues nmeona kwako itakua simple wote kutoboa? [emoji16]
Point yangu ni kwamba ,hatufahamiani, then uniite kwako nyumbani, hiyo ni sawa? Itakuwa kashaita wanagapi kwenye magroup aliyopo?
 
Point yangu ni kwamba ,hatufahamiani, then uniite kwako nyumbani, hiyo ni sawa? Itakuwa kashaita wanagapi kwenye magroup aliyopo?
Nenda ukaongeze cv
Wenzako wana 20+

Kwani akikukula shida iko wapi
 
Wanawake wa aina yako mmebaki wachache sana,sikuhizi hakuna kuzoeana,kuchunguzana,kujuana n.k.mapenzi hayapo tena ,ni kutamaniana tu,sijui watu wako busy sana wanaona wanapoteza muda!mambo hayo ya kutaka kufahamiana yalikuwepo enzi za mwalimu...
Kabisaa mkuu, inashangaza saana
 
Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.

Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu.

Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia amenipenda baada Aya kuona profile picture yangu na anaomba Leo niende nyumbani kwake .

Hivi hii inamake sense kweli?mtu humjui, then anaomba niende kwake, tukaonane, at least ata angesema anaomba Kwanza ntukutane somewhere tujuane , yaani anahisi anaweza NILA KIMASIHARA?

Em jamani wanaume mjifunze process za kumu approach mtu ,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.

Unamuona mtu Kwa dp unababaika wakati Hana uhakika kama hiyo picha ni yangu kweli. Nimekereka khaswaa.
Daaah , jamaa kakosea kidogo saana aisee
 
Pole kwa hiloooooo, japo n matukio ya kawaida sana.
Then huyo mtu ako na kiburi cha fedha thats why anajua kivyovyote vile opposing power ya mwanamke mpenda ela n ndogo sana and sometymz negligible....

Hapo n ww tu kufanya maamuz. Kuliwa kimasihara or kuzikataa pesa.

Goodluck
 
Point yangu ni kwamba ,hatufahamiani, then uniite kwako nyumbani, hiyo ni sawa? Itakuwa kashaita wanagapi kwenye magroup aliyopo?
Sema jamaa mstaarabu sana, ingekua mimi ningesubiri siku ya hicho kikao tuondoke wote. Ndo nishakupenda tunajadili nini? Mapenzi yanatupotezea muda sana.
 
Anaonekana yuko na Speed ya kiwango cha Lami 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwa hapa sisi hatujui ni wewe sasa huko W'app kwako ujitathmini,kama umeweka status umevaa nusu uchi na umekaa mikao miwili mitatu isiyoeleweka na picha za kutoa toa ulimi kama kinyonga anakamata mdudu obviously unalika kimasihara.
Jamaa siyo kwamba ni mgeni ni ana uzoefu wa kukamata watu wanaofanana na wewe labda utake tu kuonekana smart.
vile anavichati mtoa analika kirahisi lugha kiashiria tosha kabsa
 
Hata hivo huyo ni mstaarabu ....sisi wengine hamna hata salamu unaenda direct " naomba nikuto......b." na anakubali.
 
Hakuna formula maalumu ya mahusiano,unamchukulia jamaa kama bogus lakini inawezekana ni mtu poa na anayeweza kukufaa kuliko huyo ulie nae kwa sasa.
Msikilize,kuliwa au kutoliwa ni maamuzi yako
Screenshot_20210918-083229_Twitter.jpg
 
Sometimes lengo ni moja tu mtu kuliwa no mata njia gan inatumika
 
Sasa si ndo anataka mjuwane? Bila kuonana mtajuwana vipi wanawake mnanishangazaga hapo tuu.
 
Back
Top Bottom