Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

Unataka kunyoa hizo nywele ili umrahisishie nani kazi? Unataka kuzinyoa ili iweje au kuna mtu unataka kumvutia huko, mwanaume hutakiwa kunyoa hizo nywele... Na wakati wa kunyoa huwa mnakaa mikao gani?
 
Kwani mavuzi ya kawaida unakaa staili gani mzee? Acha kujitoa ufahamu, nyie ndio mnanuka MIKUNDU
[emoji16][emoji16]Punguza ukaLi wa maNeno mkuu nmeuliza serious sio kitani kaka
 
Usinyowe bana kama zimezid sana tumia maji mengi kujitwaza. Kama zinakusumbuwa basi tumia magic kama huna tumia mkasi kuziprone usinyoe zote ukijamba hata kidg ushuzi unatoka kwa sauti na zikianza upya zinakuchoma choma hautakuwa comfortable,
Ila hazinyolewi
 
Maswali kama haya yana viwango vya kumuuliza mzazi hasa baba. Kama hayupo uliza nduguze.

Kuliweka hapa usije kujilaumu
 
Dah yan kuna vitu kwenye maisha sijawah kujishughlisha kuviwaza....
 
Ziache tu zitakuwa ndefu kama ndevu za kalasinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…