Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Unataka kunyoa hizo nywele ili umrahisishie nani kazi? Unataka kuzinyoa ili iweje au kuna mtu unataka kumvutia huko, mwanaume hutakiwa kunyoa hizo nywele... Na wakati wa kunyoa huwa mnakaa mikao gani?Miaka yangu yote nimekuwa nikijiuliza sana hukusu hizi nywele sijawahi kuzinyoa ila sometime seems like zinakera ndo nauliza huwa mnazinyoa na mnazinyoaje wakuu staili gani mnakaa.
Pia kama hazitolewi tuelezane kwa wenye swali hili natumai leo tutapata majibu toka kwa baba na kaka zetu.
WANAOHUSISHA UZI HUU NA UPINDE WAAMBIE WAACHE KUWAZA UJINGA ALL THE TIME MIMI NIMEULIZA WANAUME WENZANGU NINGEKUWA NIMELEFT NINGEANZA NA KUSEMA MASHOTI ET NYWELE HUNYOLEWA MNAKUWA KAMA VIAZI VYA LUBUMBASHI KENYA