Wanaume hupenda wanawake wagumu kupatikana?

Hapa tunazungumzia ambao tayali ni couple sio mitongozano
Kuna tamaduni za aina na aina. Kwa mfano wazungu wanapokuwa wapenzi, muda wote wako pamoja. Kwa hiyo naweza kusema mwanamke wa kizungu akifanya kama wewe unavyodhani (kutokuwa available muda wote) basi kuna walakini. Na pia wewe mwanamke mweusi ukifanya hivyo kwa mzungu hatakuelewa na mnaweza kuachana. Kwa sisi ngozi nyeusi mh... ukiona mwanamme ambaye anapunguza upendo mpenzi wake akiwa too available basi kuna kitu. Aidha anaona unamkera au ana mpenzi/wapenzi wengine.
 
Awe mgumu ila kihindi
 
Ukiona mwanaume ambaye anapunguza upendo
Mpenzi wake akiwa too available
Basi kuna kitu: Aidha anaona una mkera au ana mpenzi /wapenzi wengine
πŸ‘†πŸ‘†
asante nimechukua hiyo
 
ShesRise_1 ngoja nikwambie ukweli sisi wanaume hatupendi Wanawake wanaotuletea drama wakati tukiwahitaji kwenye sex wapenzi wetu, hiyo research au hayo maneno uliosikia kuwa Kuna Wanaume wanapenda wawe na wale wenye maringo au drama kwenye mahitaji ya mapenzi sio kweli labda hawakuelewa content au wewe umewaelewa vibaya kama ambavyo baadhi ya watu humu jf wameshindwa kukuelewa wao wanafikiri unazungumzia scenario ukiwa unahitaji kuwa na mpenzi
 
Umeniliewa vema mimi hapa nimezungumzia watu ambao tayali wana date sio issue za ku approach

Nilisoma sehemu hasa mwanaume alikua anatoa ushauri kwa wanawake namna ukijifanya available kwa mpenzi wako namna anavyoweza kukuchukulia so akawa anawaambia sometime mwanaume wako akikuita kaza usipatikane mda wote

Sasa nikawa najiuliza kwahiyo kua na drama za hapa na pale ndio mnapendaπŸ€”
 
Ukiona mwanaume ambaye anapunguza upendo
Mpenzi wake akiwa too available
Basi kuna kitu: Aidha anaona una mkera au ana mpenzi /wapenzi wengine
πŸ‘†πŸ‘†
asante nimechukua hiyo
Chukuwa tena kama hujaingia kwenye ndoa jiulize hili ''Kama anapunguza upendo ninapokuwa too available, je nikiolewa na kuwa naye muda wote si atanikinai baada ya mwezi?''
 
Ukiona demu anakuomba tendo ujue anataka hela au kitu chenye thamani ya pesa
Umetumia kigezo gani ?
Kwahiyo huyo unaemuita demu hana hisia ?
au unakumbana na waliokatwa antenna πŸ“‘ 😎
Unajiona huvutii kaisi hakuna anaetamana ku enjoy na wewe mpka kuwe na dau?
 
Umetumia kigezo gani ?
Kwahiyo huyo unaemuita demu hana hisia ?
au unakumbana na waliokatwa antenna πŸ“‘ 😎
Unajiona huvutii kaisi hakuna anaetamana ku enjoy na wewe mpka kuwe na dau?
Antenna zinaloa kukiwa na pesa bila pesa antenna ni kama imekaushwa
 
Sikweli kuwa wanaume tunapenda wanawake wagumu kuwapata.
Mwingine anaweza tu akawa na dharau na majigambo sababu ya status yake labda uzuri, pesa au kazi nzuri na akaonekana kama mgumu kupatikana lakini kiuhalisia hana thamani ya kuishi naye kama mke.

Ukweli ni kwamba wanaume tunapenda wanawake wenye thamani.
Hapa naongelea tabia zake mfano heshima, nidhamu, uwajibikaji, uelewa wa hali, usafi n.k bila kujali kazi yake wala urembo.
Hawa si wagumu kuwapata kama thamani zenu zinafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…