😂😂😂Mwanamke ndio kiumbe pekee anaeweza kuijenga thamani yake au kuibomoa. Sisi men tunaenda tu na beat.
Hata Mwanamke uwe pisi kama malaika ukijiweka cheap utadharaulika na kutongozwa na kila mtu.
Huku wanaojua thamani yao wakiendelea kuogopwa na wanaume cheap maana kuna standard walioiweka, Huku wakifatwa na wanaume wenye power regardless na uzuri waluo nao .Sometimes wanaume tunavutiwa na haiba. sio mwanamke unajichekesha chekesha tu na kila kiumbe kama tahira na uko available kwa kila mtu.
Soma tenaUmalaya tu, kwa nini ufukuzie/ufukuziwe wakati wewe ni mume/mke wa mtu? Tulieni na ndoa zenu umalaya hauna dili.
Unaambiwa usijichekeshe 😁
😂😂😂 mie nacheka, ila sijichekeshi km tahira mahi.Unaambiwa usijichekeshe 😁
Na ndio kwanzaaa unaangua kicheko
Sawa diha 🫰haya basi niambie upande wako wewe upo available au ni mpaka mkimbizane kidogo na shem😂😂😂 mie nacheka, ila sijichekeshi km tahira mahi.
Woiiiiih
unaona sasa, kama ipo automatically kwa nini mtu anyimwe? Hapo ndo utagundua kuna watu wanaomba penzi kama wanafunzi wa primary wavoombana maandazi. Chukulia mfano me ndo mpenzi wako afu nasemaUnataka kufundishwa kuomba penzi kwa inaemuita mpenzi wako?
Kuna vitu hafundishwi mtu vitu vipo automatically ni shwaaaaaaaaa
Sometime inategemea na mazingira mmezoeshaga kwenye kuombana mfano Mmi ex wangu nilikuwa namwambia nimekumiss mama tayari kashajua Nini nahitajiunaona sasa, kama ipo automatically kwa nini mtu anyimwe? Hapo ndo utagundua kuna watu wanaomba penzi kama wanafunzi wa primary wavoombana maandazi. Chukulia mfano me ndo mpenzi wako afu nasema
"ShesRise_1 my love NAOMBA TUFANYE MAPENZI"
We utakubali??
Et, my love naomba tufanye mapenzi😁unaona sasa, kama ipo automatically kwa nini mtu anyimwe? Hapo ndo utagundua kuna watu wanaomba penzi kama wanafunzi wa primary wavoombana maandazi. Chukulia mfano me ndo mpenzi wako afu nasema
"ShesRise_1 my love NAOMBA TUFANYE MAPENZI"
We utakubali??
X wako hana baya safii🔥Sometime inategemea na mazingira mmezoeshaga kwenye kuombana mfano Mmi ex wangu nilikuwa namwambia nimekumiss mama tayari kashajua Nini nahitaji
Weee apia.???!!!!
Hauoni kinyaaa kila siku papuchi mpya🤮 unawezaje 🤔
Bora umesema ukweliI'm saving money for the rainy days. Mambo ya kuombwa hela bundle kila siku siwezi
Bora umesema ukweli
Kama bado unalalamikia bundle
Endelea kujitafuta mkuu
Ila jamaa anafurahisha sana 🤣Et, my love naomba tufanye mapenzi😁
👆 Imekaa ki mkoani mkoani
Ukiona hivyo wewe sio bahili kama mimiWewe unapata wanawake wasio na hisia na wewe asikuambie mwanamke wanapenda sex ile mbaya hasa akikupenda au akiwa na sexual desire kubwa Mimi nimpata mmoja mpaka niliomba poo unaweza kusex nae Leo keshokutwa akataka Tena ndani ya wiki akawa anataka mara 4 wakati mwingine na akawa anataka nifanye nae mpaka siku za hatari.siku za mwanzoni za mahusiano Mimi ndio nilikuwa naomba ila Mambo yakabadilika baadae yeye ndio akawa anaomba sana unaitwa ghetto lake upige mzigo anakuandalia kila kitu kazi inakuwa kwako mwamba ilifika kipindi Sasa inabidi nidanganye siku nyingine nisiende maana nilikuwa nachoka na tena ni mdada na Hana mtoto ShesRise_1 jamaa anaishi ulimwengu gani au anapata wanawake wa aina gani
Kama ukorofi wako wewe...Weee apia.???!!!!
Sio lazima utoe hela nyingi Mzee ukionesha Hali ya kujali demu atafall in love so wewe hata kidogo utoi si ndio??Ukiona hivyo wewe sio bahili kama mimi
Unampa hela ya kazi ganiSio lazima utoe hela nyingi Mzee ukionesha Hali ya kujali demu atafall in love so wewe hata kidogo utoi si ndio??
[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa diha 🫰haya basi niambie upande wako wewe upo available au ni mpaka mkimbizane kidogo na shem
shem[emoji12]
(namanisha yule mnae date Tayali)
Nyie kweli wahalifu 😁[emoji23][emoji23][emoji23]
Mahusiano yangu na Ba tamu, ni km kundi la wahalifu. Kuna muda huwa tunasahau km tuko kwenye dating.
Unajua ile long distance relatns, afu ile ya I don't care,? Bas ndo tuko nayo sisi.