Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi

We wadanganye tu .

Tunavutiwa na matako na sura wengine matiti mviringo yaliyokuwa na pointed nipple sio yaliolala kama ndala

Sasa we endelea kutabasamu na pasi yako nyuma
Halafu wanaume mnanishangazaga sana hapo kwenye kifua!!

Mwanamke anaweza kuwa na dodo dodo chuchu chuchuu kweli ila akishashusha tu ndio utajua hujui!! Yanalala ndala ikasome!!
Mtupendegee ivoivo nasie wake zenu wenye ndala jamani msitunyanyapae kihivo!( Mfano tu)
 
Ondoa hofu hapo anazungumzia wale wa kununua.
MAtiti haiwezi kuwa sifa ya kudumu, yaai umuoe zimesimama hadi uzeeni?

Isitoshe amesema MLEVi Mmoja
 
Ondoa hofu hapo anazungumzia wale wa kununua.
MAtiti haiwezi kuwa sifa ya kudumu, yaai umuoe zimesimama hadi uzeeni?

Isitoshe amesema MLEVi Mmoja
Weeee kila mwanaume anapenda matiti yahivo japokua wengine wana watoto lukuki!! Yani mkewe keshanyonyeshaaa weeee mpaka nyonyo limekua tepeeee afu anapenda saa 6 nyieee!!
Mungu anawaona!
 
Weeee kila mwanaume anapenda matiti yahivo japokua wengine wana watoto lukuki!! Yani mke keshanyonyeshaaa weeee mpaka nyonyo limekua tepeeee afu anapenda saa 6 nyieee!!
Mungu anawaona!
Unakosea kutujumlisha, nyonyo saa 6 ni watoto kidato cha 4.
Ksmwe age hiyo mimi hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…