Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ni kweli ni wachache sana wanaoweza kumantain figure na shape zao baada ya kuzaa wengi hunenepa na kuwa na umbo la kimama nakupoteza ule mvuto walikuwa nao ๐๐๐๐!
Wanawake wengi tukishazaa tunabadilika sana!
Miili haivutii kabisa โบ๏ธ!!