Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi

Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi

mnanyonyesha vibaya watoto, we. mtoti unanyonyesha miaka miwili toto linanyonya mpaka linabembea, kwa kwl mm akatafute nyonyo ingine sio ya mke wangu😂
Hahahaha asante kwa kuibariki jioni yangu nimechekaje........
 
Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi yake.

Hivyo hakikisha unalivaa tabasamu kama unahitaji kumvutia mwanaume yoyote umtakaye na sio kuvunja kabati, kazi bure.
Hasa la mbunge wa Segerea Mh Bona 🌹
 
Back
Top Bottom