Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi

Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi

Me mbona sivutiwi na lolote tu ila navutiwa na urafki na hawa watu akijikuta rafk napitia humohumo
N.B awe analipa sio uso kama karamba ndimu
 
Nagongelea nyundo kabisa.
Hiki ni kitu Cha kwanza kukikumbuka pindi ukiwa mbali na mtu.

Tabasamu tabasamu kudadeki utatongoza bila kutarajia
 
Unakosea kutujumlisha, nyoyo saa 6 ni watoto kidato cha 4.
Ksmwe age hiyo mimi hapana
Hakuna cha kidato cha 4 kuna wadada tulimaliza nao akh nikama sijui alikuwa ananyonyesha wababa au vp yan bonge la mtiti alafu limelala hata lisetiwe alarm haliwez amka
 
Halafu wanaume mnanishangazaga sana hapo kwenye kifua!!

Mwanamke anaweza kuwa na dodo dodo kweli ila akishashusha tu ndio utajua hujui!! Yanalala ndala ikasome!!
Mtupendegee ivoivo nasie wake zenu wenye ndala jamani msitunyanyapae kihivo!( Mfano tu)
Kifupi uzuri na mvuto wa mwanamke sisi wanaume tunaujua akishavua nguo akiwa uchi

Ila nguo zinawabeba sana baadhi ya wanawake
 
Ndo ubaya wa kukaimu cheo change cha Msemaji mkuu wa wanaume.Sasa natoa tamko sisi tunavutiwa na MATAKO TUU narudia WEZERE
 
Halafu wanaume mnanishangazaga sana hapo kwenye kifua!!

Mwanamke anaweza kuwa na dodo dodo chuchu chuchuu kweli ila akishashusha tu ndio utajua hujui!! Yanalala ndala ikasome!!
Mtupendegee ivoivo nasie wake zenu wenye ndala jamani msitunyanyapae kihivo!( Mfano tu)
hapo utakuwa umeyakanyaga😂😂
 
Back
Top Bottom