Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi

Yeah wengine ni nature yao pia!! Yani hata azaejee walaaa hanenepi wala hawi na kitambi!!
Ila wote kifuani lazima kubadilike☺️!
Kuna wale ambao walikuwa wembamba wakinenepa ile kiasi wasiwe mabonge huwa wanapendeza sana unaanza kuona hata shape na tako wananona kiutamu utamuπŸ˜‹
 
mnanyonyesha vibaya watoto, we. mtoti unanyonyesha miaka miwili toto linanyonya mpaka linabembea, kwa kwl mm akatafute nyonyo ingine sio ya mke wanguπŸ˜‚
🀠🀠🀠🀠🀠🀣!
Kwakweli Ndiomana wazungu hawataki hii mambo ya kunyonyesha kizembe kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…