Wanaume huwa mnafikiria hatari zinazoweza kuletwa na mchepuko?

Unajihami na kibabu?
 
Mjomba wako hakujua kuishi nao kwa akili.
 
mambo ya wanaume tuachieni wanaume wenyewe! Mwaka wa kumi huu sijawahi kulishwa sumu usitutishe!!
 
dole gumba kwako lisilo na ukucha.
 
Mbona umeongelea sumu na sio kitu kingne?
 
Duniani hapa ni kumwomba mungu akuepushe na mabalaa
Hatari inatokea upande wowote ule iwe kwa mchepuko au kwa mume/mke
 
Sasa Best mimi nakwambia si kweli. KE anaweza kuwa yuko ndani ya ndoa yenye kila starehe mume anamjali mwanzo mwisho ukiwa hujui utasema ndoa yao wale bomba sana wanapendana sana kumbe KE anatombesha nje.
Basi hampendi huyo mwanaume
Women cheat for love sio tamaa kama wanaume
 
Ziko kesi za hilo na ziko kesi pia hakuna tatizo lolote ndani ya ndoa na bado anachepuka. Kwa mfano alikuwa chuo na ex wake mmoja anamtafuta mwenzie ili wapashe kiporo wengine wanachepuka for the sake tu ya kuchepuka.
She is not happy ndani
 
Ziko kesi za hilo na ziko kesi pia hakuna tatizo lolote ndani ya ndoa na bado anachepuka. Kwa mfano alikuwa chuo na ex wake mmoja anamtafuta mwenzie ili wapashe kiporo wengine wanachepuka for the sake tu ya kuchepuka.
Then sababu ipo
Huwezi sema hamna sababu...

mtu doesnt wake up in an ordinary morning akasema naenda saliti mume/mke wangu

majaribu ya dunia
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…