Wanaume huwa mnafikiria hatari zinazoweza kuletwa na mchepuko?

It is more than that Mkuu. Nimeona kesi kama hizo na kuongea na KE husika na kudhibitisha hawana tatizo lolote ndani ya ndoa lakini kama unaweza kuchepuka bila kubambwa why not.
Abnormal women..
Few wanaofanya kwa hamu tu na sio hisia

In most cases.,women are emotional
For most women u js dont go to bed with a man you dont love...haipoo
 
This is 2021 and not 1947 sasa umezidiwa nyege eti mume hayuko na ndoa iko bomba kabisa. Utakufa kwa nyege? Jibu unakijua iweje basi utoke nje kwa kuzidiwa na nyege? Iwe hamu iwe hisia ndiyo kishachepuka.
Abnormal women..
Few wanaofanya kwa hamu tu na sio hisia

In most cases.,women are emotional
For most women u js dont go to bed with a man you dont love...haipoo
 
Hii mambo ya mchepuko ni very complex ....... nina boss wangu na mchepuko wake toka nimejua wapo pamoja ni miaka 13 sasa na sijui walianza muda gani ila had leo wapo pamoja
 
G alikua class mate wangu, aliugua, mchepuko wa baba akaleta dawa ili G apewe, mama wa G hakuambiwa hata, yani ilikua ni maagizo from mchepuko hii dawa kampe G atapona baba akaileta akampa....Mambo yalikua mengi ila alifariki.
Duh hatari hii... yani mchepuko wa baba yako au wa baba yake G?

Isije ikawa G alipewa sumu...

Apumzike kwa amani G wetu...
 
Mchepuko nikama subsidiary subjects haina effects yoyote kwenye main course unless umekuwa kilaza and by the way ratio iko 1:3 kwa sasa kwaiyo its a favor tunatoa kutembeza pipe.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Kuna mchepuko nimezaa nae mtoto wa kike na mm ninae madume 3 natamani sana nimlete nyumbni kwangu awajue kaka zake
Ila ndio hivyo mchepuko mwenyww ni mke wa mtu

But nimemnunulia plot huko bagamoyo as her feture asset
Akili zako zimenishinda ujanja.Duh!Dunia ina mambo.πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Mjomba wako fala sana ,samahani lakini siwez kuwa adui kwa kusema ukweli
 
Kwa mke risk is 20:80 lakini kwa mchepuko ni 80:20
Kinyume chake ni sahihi. Marukio ya kweli ya wake kuua waume zao ni mengi kuliko michepuko kuua wapenzi wao. Samson aliuawa na mke, rais wa kwanza kama sikosei ni wa rwanda anaitwa baba wa taifa lao alitegewa sumu na mke wake ikulu ili ale afe ndo maana sikuwahi kjmwona kwenye ziara zake zote akiambatana na mkewe na mkewe hakuwa anakaa ikulu. Rais huyu ni marehem kwa sasa ila mkewe bado hai, sikumbuki jina lake.
Sky naomba data ambazo mchepuko uliua bwana wake.
Halafu kama hujui sky michepuko ndo huleta aman na waume zenu nyumbani. Binafsi mdogo wako siujui uchi wake mwaka na nusu sasa ila tuna furahia vizuri tu hatujagombana wala mchepuko ndo anasawazisha hali ya hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…