Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaficha wasifahamike,

Hapo huwa unajiuliza men aina gani hawa,toka mars or jupiter🤣
Ila ndio sisi hao amini hivyo .
Wasifahamike vipi maana mfano wew I’d yako ni Zulu man,ila ukifika kwenye ule uzi wa uwongo unajiita Nyani mzee sasa si utakuwa ni ukichaa😁😁

Najua yale wanayo andika wana wish Wangefanya ila ndo hivyo kimoja chali🐒
 
3k hiyo sio level yangu aiseee!! Wapo wahusika wa kuruka nazo 🤣🤣🤣
Unaona sasa...🤣🤣

Kumbe hatuendani kabisa,wewe ni expensive mama

Kijana wa watu hivyo 3k kuipata X mass to Xmass jinsi nilivyochacha.

Hapa najaribu kuzurula huenda nikaokota hata barabarani 1 USD kwa bahati mbaya.
 
Wasifahamike vipi maana mfano wew I’d yako ni Zulu man,ila ukifika kwenye ule uzi wa uwongo unajiita Nyani mzee sasa si utakuwa ni ukichaa😁😁

Najua yale wanayo andika wana wish Wangefanya ila ndo hivyo kimoja chali🐒
Tuvumilie lakini huwa tunajitahidi kwenda vingi japo stress za maisha zinatutoa kwenye mchezo😅
 
Sasa mbn kama povu linakushuka we kuweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…