Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Tunza papa lako uone km kuna mtu atakutangaza. Sio kila me wa kumvulia nguo.
Heshimu mwili wako.
Funguo inayofungua kila kufuli inaitwa master key
Jichunge usiwe miongoni mwao, sidhani km umetulia na mme wako mmoja afu atokee mwanaume wa kukuita malaya.
 
Bora umesema wewe jirani... yani wadada sijui hua tunakwama wapi
 
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
Nakuunga mkono dada endeleeni kutuuzia ili tuache kupiga nyeto
Ila mjitahidi kuweka bei ambazo ni elekezi ambazo ni rafiki kwa raia mwenye kipato cha kawaida maana hali huku mtaani ni mbaya
 
Back
Top Bottom