Wanaume kama mabinti! Konda wa daladala akiuliza iwapo kuna mtu anataka kushuka kituo kinachofuata, utasikia mwanaume mzima anasema, 'SHUSHAAA!' 🤮

Wanaume kama mabinti! Konda wa daladala akiuliza iwapo kuna mtu anataka kushuka kituo kinachofuata, utasikia mwanaume mzima anasema, 'SHUSHAAA!' 🤮

Mwanaume unashindana na wananawake kutamka neno, SHUSHAAA! Kwenye daladala?

Si useme tu, mimi nashuka hapo mbele.

Wanaume kama Jamila bhana!
Umeamka na stress mkuu, kunywa maji kiasi then urudi kwenye hii mada yako ujione ulivyo mjinga. Amini nakwambia kama ungekuwa na balance ya hata laki5 bank usingeleta huu ujinga. Shida ni pesa
 
Back
Top Bottom