Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,819
- 3,295
utafika umechoka sana mkuu...
Amen mkuu!Tumsifu Yesu kristu pasta kindege
Umeongea/sema kitu kikubwa sana. Sijui kama watu wamekuelewa. Kama wewe mwanaume ni mwanaume tu, huitaji kijiverifiy.Kila siku huwa nasema UMASKINI wa uchumi unapelekea hadi fikra kuganda, Uanaume hautafutwi validation, unakua wenyewe automatically .
Ukiona mtu anatafuta validation ya uanaume wake, jua kuna tatizo sehemu.
Una shida wewe sio bureImekaa kike kike sana hasa pale mwanaume anayetamka anapotaka sauti yake kusikia kuliko za mabinti.
Kabisa mkuu. Ndiyo maana konda wa daladala akitaja kituo wao hushindana kusema, shushaa!Tatizo la vijana kutegemea betting kama ajira wanaamka na stressš