Wanaume kama mabinti! Konda wa daladala akiuliza iwapo kuna mtu anataka kushuka kituo kinachofuata, utasikia mwanaume mzima anasema, 'SHUSHAAA!' 🤮

Kila siku huwa nasema UMASKINI wa uchumi unapelekea hadi fikra kuganda, Uanaume hautafutwi validation, unakua wenyewe automatically .

Ukiona mtu anatafuta validation ya uanaume wake, jua kuna tatizo sehemu.
Umejuaje mkuu?
 
Exactly, an elder one told me as well that I don't need to hustle to prove to people that I'm a Man, my behaviour will 🤣...So I guess you are correct
 
Back
Top Bottom