Wanaume: Kosa dogo linaweza kutufanya tusipendwe na watoto wetu hapo baadaye. Mwanangu wa miaka mitano amenistua leo

Mambo ya Bia Tamu?
 
Pia sio vibaya siku moja moja baada ya kukimbizana na mihangaiko yako ya kutafuta maisha, kumbuka kuwatoa out familia yako, wapeleke sehemu waagize vinywaji na vyakula wapendavyo then jumuika nao, na wakuone unavyolipia. Inajenga imani kwao kuwa unawajali japo mara moja kwa mwezi!
You will thank me later!
 
Punguza umwinyi, siku moja moja watengenezee kifungua kinywa ukae ule nao. Hata kuwaogesha hizi ndiyo njia za kujenga attachment na mtoto.
Sky Eclat hapo kuna Umwinyi gani? Ni namna tu tulivyogawana Majukum.
 
Sijasoma uzi wako ila niseme tu wamama wanachamgaia Sana watoto wachukue baba zao. Msinibishie huu ni ukweli
Inasemekana baadhi ya Wamama wako hivyo. Sisi Wababa tuna wajibu wa kusaidi kuepukana na kadhia hii.
 
Huu ni ushauri mzuri Wanaume tuuchukue.
 
Sky Eclat hapo kuna Umwinyi gani? Ni namna tu tulivyogawana Majukum.
Kama unataka kuwa na attachment na watoto wako ni kuwa nao physically, wanapoumwa na kutapika, kuwaogesha, kuwalisha, kushika nao kalamu.

Ni mzazi gani anakugusa zaidi ukikumbuka utoto wako? Baba aliyekuwa anakunywa bia akirudi nyumbani mmelala!
 
Hizo tabia mbaya za hivyo Mungu kanieousha.
 
Tutaendelea kuwa wababa Bora. Ushauri huu wanaume wameuchukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…