Wanaume: Kosa dogo linaweza kutufanya tusipendwe na watoto wetu hapo baadaye. Mwanangu wa miaka mitano amenistua leo

Maisha yamebadika shetani ame-advance sana. Usimpe mke hela chumbani ya kuhudumia familia
Toa pesa wazi wazi
Watoto wajue wewe ndie unayehudumia mgodi
😅😅😅😅we jamaa nimefurahi comment yako
 
Hizo tabia mbaya za hivyo Mungu kanieousha.
Tunapofeli mara nyingi ni kukosa kuongea na watoto, mtoto wako ana uwelewa mkubwa. Siku mojamoja msaidie kusafisha chumba chake na umueleweshe kuwa kuna wakati unakua ma majukumu mengine huwezi kumsaidia kila siku.

Muda wa maongezi na watoto uwe unautenga na muda wa kuongea majukumu na mama yao wafahamishe kuwa hawahusiki waendelee kucheza michezo yao.
 
Tunapofeli mara nyingi ni kukosa kuongea na watoto, mtoto wako ana uwelewa mkubwa. Siku mojamoja msaidie kusafisha chumba chake na umueleweshe kuwa kuna wakati unakua ma majukumu mengine huwezi kumsaidia kila siku.

Muda wa maongezi na watoto uwe unautenga na muda wa kuongea majukumu na mama yao wadahamishe kuwa hawahusiki waendelee kucheza michezo yao.
👍👍well noted and taken by Men
 
Inadumisha upendo si zaidi ya hivyo
Bro nakuelewa Sana...NAKAA NA WATOTO WANGU...NAWAPA KILA HITAJI WATAKALO...KUPITIA KWA MAMA YAO...JE HII ITANIFANYA WATOTO WAONE SIWAJALI?KWAKUA TU MAMA YAO ANAWAPA KILE NINACHOWAHUDUMIA?HUO NI WAJIBU WANGU...WAPENDE WASIPENDE MIMI NI BABA YAO...NATOA HUDUMA PIA WAKATI HUOHUO NAJIHUDUMIA...SITAWATEGEMEA...
 
Sijui kama umeelewa kisa nilichoeleza hapo juu. Nimeeleza kwa manufaa ya mwanaume wenzangu wenye familia kama mimi. Huyo Dogo alikuwa akilalamika kuwa mimi simpi pesa. Lakini ni kweli? Huyu ni wa miaka mitano usidhani hana akili.
 
Habari za Ijumaa wikenda wapenzi wasomaji wa MMU.

Kwanza napenda nitoe maelezo kuhusu tabia yangu ya kimaisha.

Declaration; Mimi nimeoa mke wangu Mama wa nyumbani. Nimefanya hivi kwa kuwa napenda sana starehe. Yaani napenda ninaporudi nyumbani nikute nyumba imesafishwa, inang'aa, chakula kimeandaliwa cha kifalme. Chumba ninacholala kimewekwa maridadi kama vile Mwana wa Mfalme
Shukuru Mungu mwanao kaomba goroli, watoto wa siku hizi mwendo Play Station na Smart Phone nk.
 
Jambo la kuzingatia mwanaume yeyote ni kuhakikisha unatunza pesa ztakazo kutunza uzeen,hakksha hukos hela mpaka utakapo kufa panda hata miti iwe kama akiba au fuga mifugo za kutosha kama akiba.

Maana kuna kutengwa uzeen,wanao na mama yao wakawa mbali na wewe
Unaweza ukahifadhi hiyo akiba alafu ukatengwa kijamii Mkuu, muhimu ni kuwa karibu na familia yako tu na watoto wako waoneshe upendo na wao wakuoneshe upendo. Hakuna kitu kinafadhaisha uzeeni kama familia yako kukutenga hata ukiwa na hizo pesa utapata tabu sana Mkuu.

Utataka utembelewe na wajukuu alafu wanao watakataa, utataka kutembelewa na wanao alafu watakupotezea, hii hali sio poa kabisa ni yakuepuka kabisa.
 
Good point. Namshauri arudi kwenye comment ya Sky Eclat hapo juu
 
Jambo la kuzingatia mwanaume yeyote ni kuhakikisha unatunza pesa ztakazo kutunza uzeen,hakksha hukos hela mpaka utakapo kufa panda hata miti iwe kama akiba au fuga mifugo za kutosha kama akiba.

Maana kuna kutengwa uzeen,wanao na mama yao wakawa mbali na wewe
Ukiwa furushi utatengwa ila kama unajitambua na unaelewa maana ya familia basi hautotengwa.
 
Diamond alikuwa anamchukia baba yake hadi kesho nadhani sababu ndizo hizo. Wababa tunapotuma pesa za malezi kwa wazazi wenzetu tuwe makini
 
Jambo la kuzingatia mwanaume yeyote ni kuhakikisha unatunza pesa ztakazo kutunza uzeen,hakksha hukos hela mpaka utakapo kufa panda hata miti iwe kama akiba au fuga mifugo za kutosha kama akiba.

Maana kuna kutengwa uzeen,wanao na mama yao wakawa mbali na wewe
Tatizo kuna umri ukiufikia pesa na mali huwa na nafasi ndogo sana kwako.
Tatizo ni upweke upweke upweke unaweza kufa huku umelalia ela
 
Bro nakuelewa Sana...NAKAA NA WATOTO WANGU...NAWAPA KILA HITAJI WATAKALO...KUPITIA KWA MAMA YAO...JE HII ITANIFANYA WATOTO WAONE SIWAJALI?KWAKUA TU MAMA YAO ANAWAPA KILE NINACHOWAHUDUMIA?HUO NI WAJIBU WANGU...WAPENDE WASIPENDE MIMI NI BABA YAO...NATOA HUDUMA PIA WAKATI HUOHUO NAJIHUDUMIA...SITAWATEGEMEA...
🤦🏾‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Tatizo kuna umri ukiufikia pesa na mali huwa na nafasi ndogo sana kwako.
Tatizo ni upweke upweke upweke unaweza kufa huku umelalia ela
Very correct. Ukiwa mtu mzima vipaumbele sio pesa na mapenzi kama ilivyo wakati huu wa ujana. Vipaumbele vinabadilika kabisa. Mifano tunaiona huku field mtaani
 
Back
Top Bottom