mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Acha kudandia tren kwa mbele,NGOJA NIKUACHE MAANA HUJUI USEMALOWewe ni bonge la pimbi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kudandia tren kwa mbele,NGOJA NIKUACHE MAANA HUJUI USEMALOWewe ni bonge la pimbi.
Elewa hivyo wewe ni zobaAcha kudandia tren kwa mbele,NGOJA NIKUACHE MAANA HUJUI USEMALO
Sasa mbona umejijibu? Asingekuwa na hela angemuoa pisi kali Jack? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unajua kisa cha Mengi kuoa Klyn vizuri. For your informations ni baada ya kususwa na familia yake. Pamoja na kuwa bilionea.
Sawa sawa.,hujakosea mkuu NASHUKURU kwa taarifa,[emoji1787][emoji1787]bila watu Kama nyie humu ndan HAPASOGEIElewa hivyo wewe ni zoba
Jack ni pisi kali yule mzee?? Kashafumuliwa na wahuni wa mjini mpaka akakosa soko akajibanza kwa wazee wa mvi kwenye pufumbu?? Yule alienda kimaslahi sio kukidhi kile Dr Mengi alichosusiwa na familia.Sasa mbona umejijibu? Asingekuwa na hela angemuoa pisi kali Jack? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu samahani kwa kukuambia ukweli.Sawa sawa.,hujakosea mkuu NASHUKURU kwa taarifa,[emoji1787][emoji1787]bila watu Kama nyie humu ndan HAPASOGEI
Nimechokaaaa eti 'nikirudi nyumbani nyumba safi amanipikia sijui napenda starehe etc'Habari za Ijumaa wikenda wapenzi wasomaji wa MMU.
Kwanza napenda nitoe maelezo kuhusu tabia yangu ya kimaisha.
Declaration; Mimi nimeoa mke wangu Mama wa nyumbani. Nimefanya hivi kwa kuwa napenda sana starehe. Yaani napenda ninaporudi nyumbani
Naheshimu sana na kumpenda mama watoto wangu. Mchango wake kwangu naukubali mno. Ndio maana nampenda. Hapo tumegawana tu majukumu. Ila haimanishi yangu ni ya thamani kuliko yake. Na ndio maana nawakumbusha na wanaume wengine tubadilika mtazamo kidogo kwa manufaa ya familia zetu.Nimechokaaaa eti 'nikirudi nyumbani nyumba safi amanipikia sijui napenda starehe etc'
Bro maisha ya wawili wapendao ni two way street
Pesa sio kila kitu
Mwanamke naye Mungu alimpa uwezo wa kufikiri kutenda na kuwajibika
Mwanamke sio chombo cha matumizi eti mie mtafutaji naleta pesa nafanya hivi na vile
Na huyu aliyebeba miezi tisa akazaa kwa uchungu sio mtafutaji au utafutaji ni pesa tu
Malezi ya watoto Utafutaji wa pesa kutunza nyumba sijui kupika kusafisha ni jukumu la wote wawili. Watoto hujifunza kupitia kwenu wazazi. Kazi za nyumbani hakuandikiwa Mwanamke tu ni wajibu wa kila mmoja. Ukiwa na watoto waonyeshe umuhimu wa kutafuta pesa na umuhimu wa kutunza nyumba. Leo wanaume wengi waliopoteza wenzi hawajui waanzie wapi wanaishia kuangukia kwenye mikono ya watesi wa watoto wao kwa mtindo 'come we stay'
Mtoto atakuthamini na kukuheshimu wewe kama Baba au Mama ukiwaonyesha majukumu ya kulea na kutunza familia na nyumba kwa ujumla ni la wazazi wote wawili..
Kweli na kisa la sisi wanaume wa type yetu tunachukulia mambo poa. Ambayo yanaweza kuwa na impact baadae.Wewe sidhani kama una makosa mkuu maana unatafuta na kama ulivosema kuwa ukiwa free unakaa na familia Yako that's nice, shida ipo Kwa mama anapowapa zawad yoyote anatakiwa awaambie watoto imetoka Kwa baba
Ni kweli kabisa.Siku moja moja mpe mkeo pesa mbele ya watoto wako itawasaidia kujua wewe ndio unatoa hizo pesa mama aweza waambia lakini wakiona kwa macho itaweza saidia zaidi
Hii imekaa poa sanaJambo la kuzingatia mwanaume yeyote ni kuhakikisha unatunza pesa ztakazo kutunza uzeen,hakksha hukos hela mpaka utakapo kufa panda hata miti iwe kama akiba au fuga mifugo za kutosha kama akiba.
Maana kuna kutengwa uzeen,wanao na mama yao wakawa mbali na wewe
"nimeharibu mahali naomba ushauri"(Rudi kwenye huu Uzi wako,then jitathmini Kama una haki ya kuchangia huku)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu samahani kwa kukuambia ukweli.
[emoji2211][emoji2211][emoji2211]"nimeharibu mahali naomba ushauri"(Rudi kwenye huu Uzi wako,then jitathmini Kama una haki ya kuchangia huku)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakubali kwamba kwa sasa ni wadogo na hawajui.Ina maana hawatokua na kuujua ukweli kwamba;Kweli hii ni mbinu moja wapo. Asante. Wanaume tujifunze
Umemaliza...Nakubali kwamba kwa sasa ni wadogo na hawajui.Ina maana hawatokua na kuujua ukweli kwamba;
-mama huwa yupo nyumbani muda wote kulea familia hiyo?
-hawatojua kwamba mama hana kibarua kinachompa ujira?
-hawatojua kwamba fedha atumiazo mama au anazowapa wao watoto ni kutoka kwa baba?
NB:Kama hawatokua na kuujua hayo,hao watoto ni aidha wana matatizo ya kutosoma mazingira,kuongopewa na mama yao au hawapendi kuujua ukweli tu.
HATA HIVYO:Upatapo wasaa(lazimika kuupata)jenga uhusiano mwema na watoto/familia yako.
ni rahisi sana kwa babakumfool mtoto mdogo ili ampende pengine kuzid hata mama yake mfano kwenye huo mfano kwani glori hiyo ni sh ngapi ?? hata kama hutaki **** hela basi kanunue mwenyewe pamoja na hayo maputo umletee mfano mimi niliokua mdogo baba yangu mzazi hakua na kazi mama ndo alikua anafanya kazi ila mzee alikua akija pale home ni vurugu mzee akipata shilingi mia huko au akipewa na mama ataleta pale vitoy ya kuchezea sijui ice cream jumapili kama yupo home anatuchukua anatupeleka mahala tunakunywa soda nini ilifikia wakati kwamba tukawa tunaona bila baba maisha hayaendi kumbeni style tuu alikua anatumia kutuonesha kulea mtoto kama sio rocket science hata kama ungekua wewe mzee wako hayuko karibu lazima umuone kama anazinguaHabari za Ijumaa wikenda wapenzi wasomaji wa MMU.
Kwanza napenda nitoe maelezo kuhusu tabia yangu ya kimaisha.
Declaration; Mimi nimeoa mke wangu Mama wa nyumbani. Nimefanya hivi kwa kuwa napenda sana starehe. Yaani napenda ninaporudi nyumbani nikute nyumba imesafishwa, inang'aa, chakula kimeandaliwa cha kifalme. Chumba ninacholala kimewekwa maridadi kama vile Mwana wa Mfalme Mohamed Bin Salma wa Saudia anaingia leo. Hivyo kwa tabia zangu hizi na zile zingine za kiutu uzima ambazo sote tunazifahamu nilipendelea sana niwe na mke asiyechoshwa sana na mihangaiko ya hapa na pale. Napenda kuona watoto wasafi muda wote walishwe vizuri na kumwagiwa upendo na mama yao muda wote.
Baada ya maamuzi yangu haya mimi nikajipa wajibu 100% kutafuta pesa, kuwaza vitu vikubwa kama vile kusaka madaraka kwa kuchukua nchi kikatiba na kidemokrasia na amani, kumiliki njia kuu na miundo mikubwa ya kiuchumi, kununua magari, ndege na kwenda masoko makubwa ya kibiashara kama Tokyo, Yokohama, Gwanzhou na Shenghanz n.k
Hakuna hata siku moja utanikuta nanunua fenicha za ndani, vyombo, nguo wala vifaa vya umeme. Hata Ada hata siku moja sijawahi kwenda shule za watoto wangu. Nyumba na viwanja sijawahi kutafuta. Kuanzia hatua ya ununuzi, ujenzi hadi kukamilika kwake yote anasimamia Mama watoto. Kazi yangu ni kukamilisha michakato ya hatimiliki na taratibu zingine za kiserikali na kisheria.
Nguo za watoto hata namba za viatu sizijui.
Ofcourse nikitoka kazini au safarini natumia muda mwingi kukaa na wanangu na mke wangu.
Baada ya kueleza tabia hizi ambazo japo sio mbaya lakini zinaweza kunicost. Nimeelezea ili wale wenye tabia kama zangu tushtuke. Tubadilike for good reason.
Leo baada ya kutoka kazini nimeshaoga na kula chakula kizuri sasa niko na pitia habari za hapa na pale kwenye account mbali mbali( Tundu Lissu account). Of course he is my role model. Tuache siasa.
Mwanangu huyu wa kiume miaka 5 akanijia nilipo. Akaniambia Baba naomba hela nikanunue glori( ball za kuchezea watoto). Nikamjibu sina pesa. Nakwepa kumpa pesa kila wakati asije kuwa na tabia mbaya.
Akanijibu Wewe Baba hujanipa pesa siku nyingi naomba leo pesa sh miatano nikanunue glori na bofu(maputo ).
Akaendelea kulalamika kuwa Mama ananipa pesa lakini wewe nikikuomba hunipi.
Likanijia wazo kichwani palepale. Nikawaza nikatafakari. Inamaana huyu mtoto anaona kabisa mimi simjali? Hajui hata hizo miatano anazopewa na Mama zinatoka kwangu?
Inamaana kuna siku nikizeeka nikawa sina nguvu hawa watoto watampenda mama yao na kuniacha mimi kwa kuamini kuwa sikuwa nawathamini enzi za ujana wangu?. Sasa itakuwaje? nitajiteteaje niaminike.
Ndipo nikasogea pembeni kwenye droo nikachukua sarafu ya jero nikampa akashukuru akatoka nje kwenda kucheza na watoto wenziwe.
Ni hayo tu.
Wanaume wakati tunawaza mambo makubwa kama kushika nchi, kumiliki viwanda vya Uraniam na nyukilia tusisahau mambo madogo madogo kwenye familia zetu yasije kutucost badae.
Na nyie wake zetu basi muwe mnatuwakiliasha wambie hizo pesa na mali wanazoona watoto nyumbani kuwa zimetokana na nguvu zetu sote. Tusije tukatengwa huko mbeleni.
Yangu ni hayo tu Nawatakieni Jumaa Kareem.
Asalaam Aleykum
Bado hoja ni nyepesi mno, sasa hata akienda kimaslahi kwani naye si lazima afanye Dr. Mengi alichohitaji ili apate hayo maslahi? Napo pia huelewi bado? Issue ni hela, hata kama alikwenda kuchuma sio big deal, the deal is, alifanya alichotaka kufanyiwa Mengi ili apate pesa, hakuna cha bure ujue!Jack ni pisi kali yule mzee?? Kashafumuliwa na wahuni wa mjini mpaka akakosa soko akajibanza kwa wazee wa mvi kwenye pufumbu?? Yule alienda kimaslahi sio kukidhi kile Dr Mengi alichosusiwa na familia.
😅😅😅Bado hoja ni nyepesi mno, sasa hata akienda kimaslahi kwani naye si lazima afanye Dr. Mengi alichohitaji ili apate hayo maslahi? Napo pia huelewi bado? Issue ni hela, hata kama alikwenda kuchuma sio big deal, the deal is, alifanya alichotaka kufanyiwa Mengi ili apate pesa, hakuna cha bure ujue!