Wanaume: Kosa dogo linaweza kutufanya tusipendwe na watoto wetu hapo baadaye. Mwanangu wa miaka mitano amenistua leo

Habari za Ijumaa wikenda wapenzi wasomaji wa MMU.

Kwanza napenda nitoe maelezo kuhusu tabia yangu ya kimaisha.
Watoto wangu wanajua mtoa hela ni baba. Kwahiyo kila kitu cha kununua huwa wanakuja kwangu na mama zao wamewafundisha hivyo.

Mkeo anatakiwa awe anawaelekezea kwako kuhusu hela ukiwepo na ukiwa nayo unawapa usipo kuwa nayo unamwambia mtoto kwa lugha nzuri ya mapenzi na huruma.

Hata ukiwa unaenda kazini unasikia baba nilitee kadha.
 
Watoto wajue baba ndiye anawahudumia ili iweje?....
Ili kwa watoto wa kiume iwajenge ya kuwa mlishaji na muhudumiaji ni baba ambaye akikuwa atakuwa baba.

Ama kwa mtoto wa kike ajue mwenye jukumu la kuhudumia na baba, na awashangae na kuwapuuza wanaume wapenda vitonga mwisho wa siku uanaume unabaki kuwa juu.
 
Watoto wangu wanajua mtoa hela ni baba. Kwahiyo kila kitu cha kununua huwa wanakuja kwangu na mama zao wamewafundisha hivyo.

Mkeo anatakiwa awe anawaelekezea kwako kuhusu hela ukiwepo na ukiwa nayo unawapa usipo kuwa nayo unamwambia mtoto kwa lugha nzuri ya mapenzi na huruma.

Hata ukiwa unaenda kazini unasikia baba nilitee kadha.
Good approach
 
Ili kwa watoto wa kiume iwajenge ya kuwa mlishani na muhudumiaji ni baba ambaye akikuwa atakuwa baba.

Ama kwa mtoto wa kike ajue mwenye jukumu la kuhudumia na baba, na awashangae na kuwapuuza wanaume wapenda vitonga mwisho wa siku uanaume unabaki kuwa juu.
Sahihi. Lazima watoto wakiume wafundishwe na wazoee kubeba majukum.
 
Unakuta wake zetu tukiwa tumejumuika nao katika mlo unamsikia kabisa mkeo anakwambia baba fulani tununulie soda au mfano wa hayo. Basi kama unayo unatoa, soda zinaenda kununuliwa.
 
Unakuta wake zetu tukiwa tumejumuika nao katika mlo unamsikia kabisa mkeo anakwambia baba fulani tununulie soda au mfano wa hayo. Basi kama unayo unatoa soda zinaenda kununuliwa.
Teaching by practical approach. Hii imekaa poa sana.
 
Hawa watoto wetu baadae uzeeni huwa Wanakuwa closed Sana na Mama zao,

Sie mababa mwendo wa kutengwa tu
Unajua hii inatokana na mambo mbali mbali ambayo wanaume(wababa wa familia) huwa tunayafanya ambayo mama huweza kuyachukua na kuwaeleza watoto na unaonekana mtu mbaya kwao.

Mfano1:unapotaka kuweka nidhamu kwa watoto ambao wameshaanza kuwa watu wazima yaan wana miaka zaidi ya 15,labda litoto unakuta linataka liwe linaachiwa chakula hata kama nilizururaji au shule linataka liamishwe kilazima,ikitokea katika mambo kama haya mama akawa upande wa mtoto inaweza pelelea baba kutokupendwa hapo baadae

Mfano2:tamaa zetu znazotupelekea kuwa na vitobo vya pemben,ikitokea familia imepitia katika hali ngumu,mama atawambia watoto kuwa baba enu pesa anamalizia kwa malaya wake,ikitokea kuna watoto hawajafanikiwa kwa namna yoyote baba utalaumiwa maisha yako yote
 
Habari za Ijumaa wikenda wapenzi wasomaji wa MMU.

Kwanza napenda nitoe maelezo kuhusu tabia yangu ya kimaisha.

Declaration; Mimi nimeoa mke wangu Mama wa nyumbani. Nimefanya hivi kwa kuwa napenda sana starehe. Yaani napenda ninaporudi nyumbani
Wamama ndio wako hivyo...

Ila siku mtoto akikuwa akaujua ujinga wa mama yake atarudi tu kwako.
Wala hata usiumize kichwa.
 
Unajua hii inatokana na mambo mbali mbali ambayo wanaume(wababa wa familia) huwa tunayafanya ambayo mama huweza kuyachukua na kuwaeleza watoto na unaonekana mtu mbaya kwao.
Mfano1:unapotaka kuweka nidhamu kwa watoto ambao wameshaanza kuwa watu wazima yaan wana miaka zaidi ya 15,labda litoto unakuta linataka liwe linaachiwa chakula hata kama nilizururaji au shule linataka liamishwe kilazima,ikitokea katika mambo kama haya mama akawa upande wa mtoto inaweza pelelea baba kutokupendwa hapo baadae

Mfano2:tamaa zetu znazotupelekea kuwa na vitobo vya pemben,ikitokea familia imepitia katika hali ngumu,mama atawambia watoto kuwa baba enu pesa anamalizia kwa malaya wake,ikitokea kuna watoto hawajafanikiwa kwa namna yoyote baba utalaumiwa maisha yako yote
Kweli
 
Isikupe shaka, endelea na msimamo wako, akifikisha miaka kumi na kuendelea atajua mpambanaji ni nani
upo sahihi..anajipendekezaje kwa mtoto, tena usikute ni under 5.

Hayo ni malezi ya kimagharibi..
mazao yake ndiyo yalee mtoto kumshtaki baba yake polisi au kwny mamlaka fulanfulan kwa kukaripiwa!

Maadam watoto wanakula, wanasoma sina sababu ya kumthibitishia mtoto kwamba ninamjali.

Akikua si itajulikana.
labda kama toto lenyewe ni taahira.
 
Kama unataka kuwa na attachment na watoto wako ni kuwa nao physically, wanapoumwa na kutapika, kuwaogesha, kuwalisha, kushika nao kalamu.

Ni mzazi gani anakugusa zaidi ukikumbuka utoto wako? Baba aliyekuwa anakunywa bia akirudi nyumbani mmelala!
Baba yangu enzi nikiwa mdogo nilikuwa namaliza hata miezi miwili bila kumuona, japokuwa nyumbani alikuwa akija daily.
 
Pia kumpiga mkeo mbele ya watoto ni very big mistake.
 
Back
Top Bottom