Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

Sidhani kama ni wanaume wote. Mi huws najisikia kurelax halafu nakuwa mwepesi.
 
Yaani nikupeleke Hotel room nipige bao and then nisinzie?😑😑 Acheni uongo
 
Huyu dada anataka dalilli za ki bailojia... jibu ni zipo huyo jamaa kaoa acha alale
 
wewe si ulinidalalia kwa yule bwana aliedondoka njooni wewe
Ah duh nilishasahau vipi kalaza damu? niamke mwenyewe... mie alinichimba mkwala nikamuachia... yaelekea nae ndio wale wanafukuzia na pindi wakikubaliwa wanaanza kuogopa ogopa na speed inawakatikia kabisa... maana huwa wanapania mno....
 
amelala hapa ! yaani anakaba huyu kwani siku hizi unaniona ona tena humu?
 
amelala hapa ! yaani anakaba huyu kwani siku hizi unaniona ona tena humu?
Bahati yake Gundu limeisha nadhani sasa... ila akizingua niambie nije kukubeba

Hapo kwenye red naye ndiye hao hao wa kulala fofofo baada ya bao? basi kazi ipo
 
Bahati yake Gundu limeisha nadhani sasa... ila akizingua niambie nije kukubeba

Hapo kwenye red naye ndiye hao hao wa kulala fofofo baada ya bao? basi kazi ipo
ahahaaa akiamka atakuta ujumbe wake huku anakoroma nyumba nzima utadhani kalipa kodi
 
Acha kufanya mapenzi na wazee
 
Sasa kama umesha gegedwa kuna shida gani kidume akipiga usingizi wake? Tena usimwamshe maana akiamka tu shughuli inaendelea.
 
Dizaini ya wapangaji hiyo nyumba moja. Ukimaliza unaanza kunyata kurudi chumbani kwako
 
Kama hukumfikisha mwanamke kileleni hawezi kulala, ila ukimfikisha kabisa akamaliza hamu zake, atalala usingizi mzito sana.
 
Mimi huwa silali naogopa kuibiwa au anaweza kufanya kitu chochote kibaya labda kuweka sumu/dawa ya usingizi. Kwa kifupi silali, yani silali, haki vile silali.
*kingine kukoroma ni tabia ya mtu, mimi sikoromi.

Punguza kuzoa zoa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…