Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Hiyo ni another case sasa. Haiwezekani demu anakupa utam ushindwe kumpa hela.
Shida inakuja kwa wale wanaotaka hela halafu bado wanazingua kutoa
Mimi kama mimi kama mtu akanipa upkeep.Like Hey babe take this atleast ngozi ikae sawa, ununue some beautiful lingerie , etc....Kwa nini unyimwe mzigo tena nakupa mpaka ufurahi mwenyewe ili mradi ujue kuhudumia mwanamke na siyo lazima awe demu wako wa kudumu but take care of her.
 
Kwa tunaoombea ndoani mnatushauri nini sasa? Make kwa ambao hawajaolewa mnawatisha
Mmhhh mara hii upo ndoani? OK

Kwa waliopo ndoani jua mahitaji yako ya MSINGI na omba kutokana na uwezo wa mme wako.

Tatizo lenu wanaw
ake wa siku hizi hamyajui mpaka mahitaji yenu ya Msingi na hamjui hata wanaume zenu hali zao kiuchumi ,unaweza ukakuta kwa kuwa rafiki yako kanunuliwa iphone 13 na ww unaenda kwa mmeo unalilia iphone 13,wakati mmeo uwezo wake Tecno kwa wakati huo,so baada ya kuwa msaada kwa mmeo unakuwa mtambo wa kutengeneza stress kwa mmeo kwa kulazimisha vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wake.
 
My Eva kama Eva ila kupewa raha sana ndo hvyo tu feminism inatuharibu na hii haki sawa..mi siio muumini we haki sasa naamini ktk kusaidiana lakini mwanaume atabaki kua mwanaume na anapaswa kunipa haswaaaaa tena anipe vyoteeee,mapenzi na pesa na miye nimpe mapenzi na heshimaa yotee!!!
 
Safi sana! Hamna mambo ya kuzungushana kama watoto wadogo
 
Comment Bora KABISA Kwenye uzi huu[emoji3][emoji3578]
 
Kibao kimegeuka tena....😁
 
Upheld brother👏👏👏
 
Juzi tu hapo demu nimepanda nae bajaji...haooo, nikaona hebu ngoja nione kama atajaa nikaomba namba, akanipa, akaniambia nilipie nauli, nikalipa,akashuka, dakika chache tunachati akaomba "tembo"...duh...akaanza kutuma mameseji shazi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji109][emoji109][emoji109] [emoji109]umemaliza kila kitu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mwanamke wa hivi ni kwa ajili ya nini? Huyu siamini kama anajitambua hata. Ndio mmebadilishana namba, huu ni msukule wallah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…