Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Me natoa sana tu.Juzi nimempa mmoja 50000/= kiroho safi tu ya mtaji mdada wa watu aliniomba.Sasa muda huu nimekuwa like sihitaji kuwa close na KE yeyote yule sijui kwanini? Sijui na wanaume wengine hali hiyo huwajia?

Aisee mdada anapata tabu sn,simu anapiga huyooo.Me nimemwambia hakuna shida nitakutafuta tu usiwaze, yaniii hanielewi.

Itakuwa ni hivo navo mpa 20000,10000 n.k
 
For sure...wajiweke wazi iwe ni official .... na sio kujificha kwenye kivuli cha mahusiano ....huku wakitumia mwanya huo kujinufaisha ...wanatuharibia vizazi na vizazi
kabisa mkuu, mm nikishaona binti na hulka za namna hii siku hiyo hiyo anakula block. Mke wangu ataishi maisha mazuri kadri ya uwezo wangu lakini si kwenye mchakato wa kuwa mke.
 
Wanaume wapo real. Toka stone age, anapotongoza mwanamke anataka mapenzi tu.

Ila wanawake mpo fake sana..... Miaka ya stone age unataka mwanaume akupe soft pebbles, tukasogea mkawa mnataka mauwa, tukasogea mikufu ya dhahabu, tukasogea, mkataka outings, tukasogea, mnataka iphone, khaaaaaaaaaaaaa?!

Mnaona namna mlivyofake, yaani vitu mnavyotaka havina uhusiano na ndoa ni tamaa za akili zenu. Upuuzi mtupu.
We jamaa we samcezar, napendaga sana comments zako, una ideology za an "Alpha man" unaanzaga kimasihara ila mwishoni unatengeneza point kubwa sana....nakubali sana✊✊✊
 
kabisa mkuu, mm nikishaona binti na hulka za namna hii siku hiyo hiyo anakula block. Mke wangu ataishi maisha mazuri kadri ya uwezo wangu lakini si kwenye mchakato wa kuwa mke.
Screenshot_20210813-110407_1.jpg
 
Kuna mmoja kanipa orodha ya mahitaji kama ifuatavyo nikabaki kucheka moyoni( kodi=150k, matumizi ya ndani=150k, ada ya mtoto wake, hajasema kiasi, pesa ya kutuma kwao mama yake anaumwa=100k). Niliamka asubuhi nikaweka 100k katikati ya notebook yake nikasepa mpaka sasa hivi sijapokea simu yake kapiga zaidi ya mara 10 tangu asubuhi ya leo.
 
kabisa mkuu, mm nikishaona binti na hulka za namna hii siku hiyo hiyo anakula block. Mke wangu ataishi maisha mazuri kadri ya uwezo wangu lakini si kwenye mchakato wa kuwa mke.
Wakati wa uchumba sio wakat wa kutumia fedha nyingi kwa ajili ya mwanamke coz unakua hauna uhakika 100%
 
Ulijitahidi kuweka hata hiyo laki[emoji3][emoji3][emoji3] Kuna mmoja naona anaomba hela kila siku ukimwambia njoo sababu haziishi
 
Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔

Nnajiuliza kwani hili swala ni geni? Ni jipya? Zamani wanaume walikua hawawapi pesa wapenzi wao? Wanawake walikua hawaombi hela? Hadi sasa iwe ishuuu yani kila kona ni malalamiko tu.....na hawa mnaolalamikia anakua ni mpenzi wako tu mmoja au rundo la wapenzi wote wanakuomba??? Mtu mmoja anaweza kukuomba pesa kiasi hicho hadi ikawa kero? Au ni nyie harakati zenu za pimbi ndio malipo yake haya? Una wapenzi wanne kila mmoja akiishiwa gas manake ni laki mbili hiyo 😁 ungekua na mmoja at least basi 50 sio mbaya, Hebu kuweni wazi NI MPENZI MMOJA TU NDIO KERO KIASI HICHO AU WAPENZI WAKO WENGI????

Mwanamke umekaa zako uko busy na maisha yako, anakuja mtu kavaa suruali anaanza saundi anakuomba omba vitu vyako eti ye ukimuomba chake inakua kero, hutaki kuombwa basi tulia zako nawe usiombe ombe vya watu?!!!! Yani eti utelezeee halafu umalize na ahsante, bro ahsante hailipi bill. Kuna wakulungwa watauliza kwani mnauza??? Hapana haziuzwi na hazitolewi bure.

Naamini mapenzi na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa, asikuambie mtu pesa ikiwepo inaongeza furaha, amsha amsha na nyeg* katika mapenzi, mtabisha tu Ila ndio ukweli.....

Cheers kwenu wanaume mnaotoa bila kinyongo bila maneno maneno, mbarikiwe sana muongezewe zaidi na zaidi, mpewe muda wote mnaotaka tena mpewe vizuri, mnaolialia kuombwa pesa muuliwe tu nyie.
Ladies msimamo ni upi? Tuache au tuendelee...😁😁
 
Back
Top Bottom