Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Eti Dada angu, unazungumziaje swala la mwanamke unamgharamikia mahela mengi alaf anakaza, meanwhile anamtunuku jamaa mwingine ambae hampi hata hamsini????
Huyo dada anyongwe maana ni mhujumu uchumi....😔😔
 
Sio sisi ni shetani.....😂
🏃🏃🏃
FBUnTQsWUAIP49a.jpeg
 
Ha ha haaa Shetani Mtammaliza Kwa kumsingizia..jameni Mnapenda hela juzi mmoja kanipa mil 4 eti ohh Mama ana shida ya Figo na kodi imeisha wakati anakaa nyumba za Serikali hapa Dodoma.
Mtatuua
Tuhudumieni jamani, kadri ya uwezo wenu...
 
Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔
Imekithiri, majuzi nimekutana na watano baada ya siku mbili wanaanza mizinga kwa sababu zifuatazo:
I. Anaumwa sana tumbo na hawezi kutembea.
II. Mama yake na mwingine mdogo wake wamelazwa huko kijijini kwao.
II. Anadaiwa Kodi anaomba nimwongezee kidogo nilipouliza kiasi akasema elfu 40 tu.
III. Anaomba pesa kidogo ili agomboe kabati lake kwani nguo zake hana na pa kuweka ndo anaanza maisha.
IV. Simu yake imekufa tachi hivyo naomba nimpelekee kwa fundi
NIMEBADILI LAINI ZOTE NA NIMEWANUNULIA WATOTO 3 WA JIRANI VIATU VYA SHULE NA MABEGI. NA NIKAMTUMIA BI MKUBWA ELFU 50.
 
Nilichogundua kumbe shida ni zile zile zinafanana kwa wapiga mizinga wote 😂😂😂
.Simu imeharibika
.Mama anaumwa
.kodi imeisha

kuna haja ya kujipanga upya....
 
😂😂
Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔

Nnajiuliza kwani hili swala ni geni? Ni jipya? Zamani wanaume walikua hawawapi pesa wapenzi wao? Wanawake walikua hawaombi hela? Hadi sasa iwe ishuuu yani kila kona ni malalamiko tu.....na hawa mnaolalamikia anakua ni mpenzi wako tu mmoja au rundo la wapenzi wote wanakuomba??? Mtu mmoja anaweza kukuomba pesa kiasi hicho hadi ikawa kero? Au ni nyie harakati zenu za pimbi ndio malipo yake haya? Una wapenzi wanne kila mmoja akiishiwa gas manake ni laki mbili hiyo 😁 ungekua na mmoja at least basi 50 sio mbaya, Hebu kuweni wazi NI MPENZI MMOJA TU NDIO KERO KIASI HICHO AU WAPENZI WAKO WENGI????

Mwanamke umekaa zako uko busy na maisha yako, anakuja mtu kavaa suruali anaanza saundi anakuomba omba vitu vyako eti ye ukimuomba chake inakua kero, hutaki kuombwa basi tulia zako nawe usiombe ombe vya watu?!!!! Yani eti utelezeee halafu umalize na ahsante, bro ahsante hailipi bill. Kuna wakulungwa watauliza kwani mnauza??? Hapana haziuzwi na hazitolewi bure.

Naamini mapenzi na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa, asikuambie mtu pesa ikiwepo inaongezakupewa furaha, amsha amsha na nyeg* katika mapenzi, mtabisha tu Ila ndio ukweli.....

Cheers kwenu wanaume mnaotoa bila kinyongo bila maneno maneno, mbarikiwe sana muongezewe zaidi na zaidi, mpewe muda wote mnaotaka tena mpewe vizuri, mnaolialia kuombwa pesa muuliwe tu nyie.
Ladies msimamo ni upi? Tuache au tuendelee...😁😁

Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔

Nnajiuliza kwani hili swala ni geni? Ni jipya? Zamani wanaume walikua hawawapi pesa wapenzi wao? Wanawake walikua hawaombi hela? Hadi sasa iwe ishuuu yani kila kona ni malalamiko tu.....na hawa mnaolalamikia anakua ni mpenzi wako tu mmoja au rundo la wapenzi wote wanakuomba??? Mtu mmoja anaweza kukuomba pesa kiasi hicho hadi ikawa kero? Au ni nyie harakati zenu za pimbi ndio malipo yake haya? Una wapenzi wanne kila mmoja akiishiwa gas manake ni laki mbili hiyo 😁 ungekua na mmoja at least basi 50 sio mbaya, Hebu kuweni wazi NI MPENZI MMOJA TU NDIO KERO KIASI HICHO AU WAPENZI WAKO WENGI????

Mwanamke umekaa zako uko busy na maisha yako, anakuja mtu kavaa suruali anaanza saundi anakuomba omba vitu vyako eti ye ukimuomba chake inakua kero, hutaki kuombwa basi tulia zako nawe usiombe ombe vya watu?!!!! Yani eti utelezeee halafu umalize na ahsante, bro ahsante hailipi bill. Kuna wakulungwa watauliza kwani mnauza??? Hapana haziuzwi na hazitolewi bure.

Naamini mapenzi na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa, asikuambie mtu pesa ikiwepo inaongeza furaha, amsha amsha na nyeg* katika mapenzi, mtabisha tu Ila ndio ukweli.....

Cheers kwenu wanaume mnaotoa bila kinyongo bila maneno maneno, mbarikiwe sana muongezewe zaidi na zaidi, mpewe muda wote mnaotaka tena mpewe vizuri, mnaolialia kuombwa pesa muuliwe tu nyie.
Ladies msimamo ni upi? Tuache au tuendelee...😁😁
Kuombwa ombwa vitu gani bana sema K ueleweke....
 
Acheni kutuharibia dunia nyie waja msio na mawazo ya kimapinduzi, Dunia ina pambana kufanya taswira ya mwanamke ionekane yenye nguvu na ushawishi katika kila nyanja. Kumbe kuna wapuuzi wengine bado wanalilia kuhudumiwa, kazi ni moja ya anuai ya utu hivyo ni wakati sasa wakufanya kazi na kujitengenezea kipato chako mwenyewe. Kulilia kuhudumiwa huo ni udhaifu na mnarudisha nyuma dhana zima ya ukombozi wa mwanamke kiuchumi kijamii, nafasi za maamuzi katika jamii inayowazunguka. Dunia itabadili vipi mtizamo wake kwa wanawake wa namna yenu ambao mpaka leo mnataka malipo baada ya kuchakatwa mbususu. Jambo ni moja tukubaliane kuwa mnauza na si vinginevyo ila kuna kundi kubwa tu la wanawake wanaojitambua hawana tena fikra kama zenu, wanapambana kila uchwao kuhakikisha mwanamke haonekani kama mtu dhaifu tena kwenye jamii wanaibeba taswira nzima ya mwanamke kuweza bila kuwezeshwa. Mkikubali kuwa mnauza wala mimi sina shida kabisa, shida ipo pale mnasema hamuuzi huki mkihitaji malipo baada ya huduma.
 
Mawazo ya kimapinduzi ndio yakoje ndugu mteja?
 
It's an assignment sihitaji kukuambia lakini ukiachana na zile page za kishangingi kwenye mitandao ya kijamii na ile jamii inayokuzunguka. Utayajua mawazo ya kimapinduzi ni yapi ndugu mteja.
 
Kila mtu akiishi hivyo dunia itasimama...we endelea na mapinduzi mi naendelea kujipindua mwenyewe
 
wala haiwezi kupinduka jamii kubwa ya wanawake bado hawajitambui. Na ndiyo kutwa wanaleta mada za kuuza papuchi.
 
Katika mada ya namna hii kokote pale katika jukwaa hili ningependa kutambulika kama mpiga vita tena vita vikali kwelikweli. Haiwezekani mje mtuharibie dunia na kuleta mifumo ya hovyo namna hii. Wauzaji mjirasimishe tuwajue tu na wala hatuna shida na biashara za watu. Ila msiwaambukize watu wanaotaka kuwa kwenye mahusiano ambayo yatazaa ndoa siku za usoni.
 
Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....[emoji17]

Nnajiuliza kwani hili swala ni geni? Ni jipya? Zamani wanaume walikua hawawapi pesa wapenzi wao? Wanawake walikua hawaombi hela? Hadi sasa iwe ishuuu yani kila kona ni malalamiko tu.....na hawa mnaolalamikia anakua ni mpenzi wako tu mmoja au rundo la wapenzi wote wanakuomba??? Mtu mmoja anaweza kukuomba pesa kiasi hicho hadi ikawa kero? Au ni nyie harakati zenu za pimbi ndio malipo yake haya? Una wapenzi wanne kila mmoja akiishiwa gas manake ni laki mbili hiyo [emoji16] ungekua na mmoja at least basi 50 sio mbaya, Hebu kuweni wazi NI MPENZI MMOJA TU NDIO KERO KIASI HICHO AU WAPENZI WAKO WENGI????

Mwanamke umekaa zako uko busy na maisha yako, anakuja mtu kavaa suruali anaanza saundi anakuomba omba vitu vyako eti ye ukimuomba chake inakua kero, hutaki kuombwa basi tulia zako nawe usiombe ombe vya watu?!!!! Yani eti utelezeee halafu umalize na ahsante, bro ahsante hailipi bill. Kuna wakulungwa watauliza kwani mnauza??? Hapana haziuzwi na hazitolewi bure.

Naamini mapenzi na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa, asikuambie mtu pesa ikiwepo inaongeza furaha, amsha amsha na nyeg* katika mapenzi, mtabisha tu Ila ndio ukweli.....

Cheers kwenu wanaume mnaotoa bila kinyongo bila maneno maneno, mbarikiwe sana muongezewe zaidi na zaidi, mpewe muda wote mnaotaka tena mpewe vizuri, mnaolialia kuombwa pesa muuliwe tu nyie.
Ladies msimamo ni upi? Tuache au tuendelee...[emoji16][emoji16]
Kiuhalisia hizi tabia za wanawake za kuomba omba pesa hovyo sasa hivi nahisi ni natural , maana sometimes unakutana na katoto kadogo ka kike vya chekechea hadi primary hadi secondary ,
Hukijui hakikujui , kinaanza na shikamoo , ukishaitikia tu ,
Kinachofuata ni kuombwa pesa , sijui hizi tabia ndo vimerithi kwa mama zao , mbaya zaidi vikishakua vikubwa , vinahamishia kuomba pesa kwenye ngono , vinafanya ngono ndio mtaji sasa , wanawake badilikeni mnatuharibia watoto kwa kurithi tabia za ajabu ajabu
 
😂😂😂 Sa itakuaje!!!
 
Katika mada ya namna hii kokote pale katika jukwaa hili ningependa kutambulika kama mpiga vita tena vita vikali kwelikweli. Haiwezekani mje mtuharibie dunia na kuleta mifumo ya hovyo namna hii. Wauzaji mjirasimishe tuwajue tu na wala hatuna shida na biashara za watu. Ila msiwaambukize watu wanaotaka kuwa kwenye mahusiano ambayo yatazaa ndoa siku za usoni.
Huyo anaekaribia ndoa unadhani atakuonesha anapenda hela? Ili ndoa ipeperuke?? Hakuombi hata....na ukipungukiwa atakupa ukishamuoa ndio utaona RAINBOW 😂😂
 
Back
Top Bottom