Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Anayetuma meseji 20 kwa dakika akiomba ten [emoji28][emoji28][emoji28]
...kama yuko interested namimi ntamuona tu, na kama yuko interested na ten langu ntajua, namkaushia week, alafu ntampigia nikija kusikia "we nani" ntajua ilikuwa niingizwe mkenge

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni kero kama nzi, mblock tu....
 
Hii nondo inabidi uwape nakala kina Evelyne maana umesema mawazo yangu kupitia hili!

Summary: Huduma rasmi zinaanza baada ya kulipa mahari na ndio maana kabla hatujaamisha mke baada ya harusi huwa tunaomba tuchungiwe mke na kuna hela ya tochi au ulinzi tunawapa makaka nje ya mahari! Kabla ya hapo ni aidha mzazi ama binti mwenyewe kama ana kazi ndio anajihudumia na hilo halina mjadala!

Huu utaratibu wa wasichana kulazimisha mwanaume awatunze ilihali hayuko obliged kuhudumia ni wa kishamba, uliishije kabla hamjawa wapenzi. Mwanaume akiamua kukuhudumia ni out of good faith tu wala hayuko obliged na sio lazima afanye hivyo. Kama hana uwezo basi ni swala lenu kushirikiana kama wapenzi kwa mawazo na mikakati ya kujikwamua kama mna malengo ya kufika mbali!

Vinginevyo wakware wenye pesa watatumia njia hii hi kuwachakata na kuwatelekeza kama toilet papers.

Evelyn Salt na wengineo mnaofosi kuhudumiwa ujumbe uwafikie! Case closed!
Kwahiyo tunazika au tunasafirisha???
 
Hata Kama unahela kiasi gan,, mwanaume anampa hela yule mwanamke ambaye tayari ana uhakika wa Umiliki juu yake.( She is mine)

Ndio maana kuna mwanaume anayeweza kukushawishi kwa pesa umpe mbususu kama lengo lake ni mbususu.


Mwingine anaihitaji muestablish relationship kwanza ndio awe responsible kwako .

Mlivyo sasa,,,,Mtu atakutongoza, unakua sitaki nataka, Unamlia pesa yake wee, alafu ndio unajilopokesha, " Nina bwana wangu, ananipenda sanaa na mimi nampenda ,sifikirii kumsaliti".


Mnakula nauli za watu. Hamtokeiii....nyie ni watu[emoji23][emoji23].


WANAUME WENZANGU, HUSUSANI VIJANA, MSIOGOPWE KUITWA MABAHIRI ,SIJUI HAUNA HELA SIJUI MASIKINI, NAJUA UNAJIJUA ULIVYO HIVO[emoji116]

[emoji117]Heshimu sana Pesa yako.
[emoji117]Kua na nidhamu na pesa yako.
[emoji117]Iombee Mungu Pesa yako ailinde.
[emoji117]Toa sadaka na zaka.
[emoji117]Saidia wahitaji hata watoto wa mitaani, siku moja moja nunua nguo hata zamitumba ,viatu katoe.
[emoji117]Fanya mamb yako ya msingi


LAKINI USIKAE KUITUMIA PESA YAKO KAMA SEHEM YA KUMFANYA MWANAMKE AKUPENDE, AKUONE KIDUME N.K .....

PENZI ITS AN EMOTIONAL DECISION AND NOT Financial decision na KUTOA PESA ni financial decision na sio Emotional.

huhitaji kutumia Pesa yako Kumfanya akutake, kufanya hivo ni kumfanya ajiaminishe yakua " She is in control ".[emoji777].






[emoji117]GUYS JIKITENI KUITAFUTA PESA NA KUITUMIA KUJIPA THAMANI, KUBORESHA MAISHA YAKO. JIPENI THAMANI , YAAN HATA AINA YA WANAWAKE WATAKAOKUJA KWAKO NI WALE WAPIGANAJI, WANAOHITAJI UWAFUNDISHE JINSI YA KUVUNA PESA ZAO, WANAOHITAJI UWASAPOTI KWENYE JUHUDI ZAO ZA UTAFUTAJ, WANAWAKE AMBAO NI "VERY BRIGHT VICHWANI , WANAOHITAJI KUA HURU KIUCHUMI...



Usipojipa thaman we mwenyewe, maana yake ILI UMPATE MWANAMKE ,UTAHITAJIKA KUA MTUMWA ,UTUMIE NGUVU NA PESA ULONAYO KUMSHAWISHI Ili tu akukubalie.

Nahawa ndio kila siku hahishi kukupiga mizinga ile mikubwa yaan (INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILES) alafu ya mara Kwa mara.



[emoji117]Jipeni thamani , thamani inakupa nafasi ya machaguzi, thaman inakufanya, USIHANGAIKE KWA WANAWAKE...BALI WANAWAKE WAHANGAIKE KWAAJILI YAKO.


UKIJIPA THAMAN, KUMPA PESA MWANAMKE, ITABAKI NI UAMUZI WAKO WA KICHUMI .


UKIJIPA THAMANI, WANAWAKE WEEENGI WATAKUJA YAAN WENGIIIII NDUGU ZANGU, WATAKUJA , NA WAKIJA, SABABU UNA NAFASI YA MACHAGUZI, HAUTAKAA KAMWE KUTUMIA PESA YAKO ,KUMSHAWISHI MWANAMKE AWE WAKO.



SANASANA UTAITUMIA KUMUHUDUMIA MWANAMKE ULIYEMCHAGUA KATIKA HAO WENGII....NAHUO NI WAJIBU WA KIUME[emoji123]
Mkuu hongera Sana Tena Sana umeemfunika mleta madaa

Wallahi nimeisoma 3 times
 
Kuna demu mmoja alikua analalamika kwamba yupo kwenye mahusiano na jamaa zaidi ya mwaka, hajawahi kuomba hela au chochote na jamaa amemute hajawahi hata kumwambia chukua hii ikusaidie nauli au kusuka, sasa mwanaume wa design hii si anampa tabu dada etu.

Kuna wanawake hawawezi kuomba pesa kabisa wanajiweza ila hakuna mwanamke asiependa kuhudumiwa na mpenzi wake, hata kama ana pesa za kumtosha ila pesa ya mpenzi ina ladha tofauti na inaonyesha some sense of responsibility, wanaume tujifunze kuwajali hawa warembo na yuache kulalamika kuombwa pesa

Kuna mrembo nampenda huku jamvini, siku akinikubalia naapia hatojuta nitamtunzamkwa kila kitu Whitepanther nimetangaza na dau kabisa
kunywa pepsi nakuja kulipa
 
Miye nakuambia usipokua mchoyo na mbususu yako kila mtu atakula shoo. Sitakagi ujinga kwenye hilo. Yaani umri unavyozidi kusogea na hapo ndo nakua mgumu zaidi

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Jamani mama Pablo maanani raabani amekutunuku bure icho usifanye ajizi kukitoa kwani huo ndio ubiniadaam

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Can't wait for this 😂😂😂😂😂😂 ntakua napora sana
Eti Dada angu, unazungumziaje swala la mwanamke unamgharamikia mahela mengi alaf anakaza, meanwhile anamtunuku jamaa mwingine ambae hampi hata hamsini????
 
Sometimes hii ni mbinu ya kufukuza wakware, kushinda unatuma tuma mameseji tu kwa mtu na ukute mtu mwenyewe hajakuelewa anakukataa unajifanya king'ang'a hapo inabidi uombwe pesa ili kufukuzwa
Hapana mmezidi...Na mbona mkipewa mnatoa Puchi kama hujamuelewa unatoaje?? acheni jamen mmezidi.....
 
Back
Top Bottom