Wanawake waombaji pesa ni wavivu kinomaaaaa,, tafuta pisi inayojielewa ni hustler kama wewe mnatafuta mkwanja pamoja,, mnakula life
Kuna hizi modern beggars ambazo nadhani kwenye info zake akiulizwa occupation atasema " tax collection on relationship" kwao mapenzi ni trade "nipe something nikupe something" yaan kwa namna nyngne hao ni aina nyingine ya papuchi service provider, cash talks
Na hawawezi kukataa kuwa they are doin it, wazi kabisa wanasimama na kutetea hoja kwa nguvu zote,,, wanahalalisha "gold digging" kama something that is moral right
Ukitaka kula my mkwanja gimme something na sio papuchi koz hata buguruni zipo za kununua,, utofaut wake na ww ni kwamba yeye anafanya wazi wewe una polish kilichooza
Sent using
Jamii Forums mobile app