Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Yaani nimechekaje hapa adi wife ananiuliza ni Nini.so unakuwa mgumu ili sio kila mtu aile
Weree... mma roho mbaya nayo kweli. Kila nikiifikiria naihurumia. Kuna saa nalachungulia kanatia huruma kenyewe kametulia kanarembuaaa. Basi nakaambia tulia, nitakulinda kama last born. Basi ndo kametulia kwenye cotton huko hakana hata wasiwasi. Sikagawi bana. Ubaya ubayani tu. Usifikiri nikicheka cheka na wewe ndo nakupa. Mifupa ya babu yangu kaburini

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Duuu natamani nimuone alivyo ndani ya cotton kwani ukimtoa atazeeka ama atakuwaje
 
Wanawake waombaji pesa ni wavivu kinomaaaaa,, tafuta pisi inayojielewa ni hustler kama wewe mnatafuta mkwanja pamoja,, mnakula life

Kuna hizi modern beggars ambazo nadhani kwenye info zake akiulizwa occupation atasema " tax collection on relationship" kwao mapenzi ni trade "nipe something nikupe something" yaan kwa namna nyngne hao ni aina nyingine ya papuchi service provider, cash talks

Na hawawezi kukataa kuwa they are doin it, wazi kabisa wanasimama na kutetea hoja kwa nguvu zote,,, wanahalalisha "gold digging" kama something that is moral right

Ukitaka kula my mkwanja gimme something na sio papuchi koz hata buguruni zipo za kununua,, utofaut wake na ww ni kwamba yeye anafanya wazi wewe una polish kilichooza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mos Def....😅
 
Lipi hilo
SisterEvelyn we acha tuu!!!
-Zaman mke ndio alikuwa anaweza kumwomba hela Mme wake...
-Ikaja baadae mkaanza kuomba hela wakati bado mpo kweny uchumba....
-Ikaja tena baadae mkaanza kuomba hela kabla hata hamjaingia kweny uchumba...
-Na sikuiz mnaomba hela kwa kijana yeyote wa kiume anayeonesha interest kwako(this is very discouraging)

JUZI JUZI JUZI....BHANA SIKUAMINI MACHO YANGU!!!.....yaan kuna mdada simjui wala hanijui ameniomba hela tena alikuwa na wenzake wawili...upo hapo??
Mshafikia hii stage aisee😅😅😅

NAHIC ITAFIKA KIPINDI MTAKUWA MNATUPORA HELA KABISA BILA KUOMBA....
 
Hii ni leo....sio sina hilo ten mkuu...shida ni ten linaweza enda alafu maku niisikilizie kwenye bomba View attachment 1966910

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio hela inadaiwa haiombwi hapo yani ni kama hela ya vikoba😂 na kwa style hio ya baadae natoka labda nikiwahi huyo mtengee 30K tu! Tuma leo, akiomba tena kesho tuma ya mwisho omba aje ghetto mdiscuss jambo la maana kisha kamalize!
 
SisterEvelyn we acha tuu!!!
-Zaman mke ndio alikuwa anaweza kumwomba hela Mme wake...
-Ikaja baadae mkaanza kuomba hela wakati bado mpo kweny uchumba....
-Ikaja tena baadae mkaanza kuomba hela kabla hata hamjaingia kweny uchumba...
-Na sikuiz mnaomba hela kwa kijana yeyote wa kiume anayeonesha interest kwako(this is very discouraging)

JUZI JUZI JUZI....BHANA SIKUAMINI MACHO YANGU!!!.....yaan kuna mdada simjui wala hanijui ameniomba hela tena alikuwa na wenzake wawili...upo hapo??
Mshafikia hii stage aisee😅😅😅

NAHIC ITAFIKA KIPINDI MTAKUWA MNATUPORA HELA KABISA BILA KUOMBA....
Hahahahah itafikia stage ya robbery! Demu anakupiga sachi bila maelezo 😂😂😂
 
Weree... mma roho mbaya nayo kweli. Kila nikiifikiria naihurumia. Kuna saa nalachungulia kanatia huruma kenyewe kametulia kanarembuaaa. Basi nakaambia tulia, nitakulinda kama last born. Basi ndo kametulia kwenye cotton huko hakana hata wasiwasi. Sikagawi bana. Ubaya ubayani tu. Usifikiri nikicheka cheka na wewe ndo nakupa. Mifupa ya babu yangu kaburini

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Naona kipaji cha Sanaa cha kutunga mashairi kweny maneno yako😅
 
Ila mbona watu tuliowahi kukutana na wazungu mbona hata kwenye dating lunch au dinner wanalipa wenyewe? Hawa wenzetu wanafanya mwanaume awe yesu na mwokozi wa matatizo yao
Wazungu wanajitambua sana yani😅 sio siri mzungu anajua kabisa kwamba its so fuccking disgusting kuwa omba omba!

Yani haijawahi kuwa sawa kwamba lazma yeye alipiwe kila kitu vingine anajiongeza tu. Inaleta balance flani kwenye mahusiano hasa ikiwa wote mnajiweza a man feels proud to spend on such kind of woman sababu nae anamjali na mapenzi motomoto yani hamna chembe za utapeli ndani yake. Bongo wapo wanawake design hii ambao sio wachoyo na wabinafsi japo ni wachache mno. Yani ratio yaweza kuwa 5% out of 95% na wakipendaga they do love for real! Utakula nae bata and still she makes you feel at ease sababu she is loyal.

About 95% ya madem wa kibongo ni wabinafsi na roho za kimaskini siku akispend hela yake kwako hata buku tu anaandika kwenye diary ipo siku atakusimanga na hilo buku yani wengi they don’t have such hearts. Atatumia 10K yake kwako kukulainisha ila atakupiga mzinga wa 50K yani lazima ajilipe 😂
 
Back
Top Bottom