Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Oyaaa mkuuu Aminia, ishu ni kutia mzigo unakula mbususu kibabe mpaka ukitoa dushe unaona kabisa umeharibu miundombinu(dushe ni imara bana) wakichakaza pocket sisi tunachakaza mbususu[emoji23][emoji23], pesa inatafutwa. Tuona sasa kama mbususu ina spare[emoji16][emoji16]Unapodate na mwanaume , wewe mtoto wa kike tambua level ya mahusiano uliopo nae. Mtu hajakutambulisha kwao wala kukuposa kwenu, unajipa hadhi ya mke kwake. Hii ndio inawafanya muwaone kama wanaume zenu ambao hawatimizi wajibu wao kwenu na mnaishia kujidisappoint mkidhania wanaume ndio wanawadisappoint.
Hivi unaweza kodi tax halafu ukajipa akili kuwa ni mali yako na kutaka kuitumia kama gari yako?!
Kuavoid hizi aina ya complain na disappointment, ni vema ukadate na mtu na kuishi nae kwa kiwango kile mliopo. Kama yeye ni just a boyfriend then ishi nae kwa namna hiyo, acha kulalamikia yeye kutowajibika na wewe kwa gharama zako is he your husband?!
Subiri akuoe ndipo uanze kutazama namna anawajibika na wewe. Ndio maana wengi mnakimbiwa mapema sababu mnajihalalisha mapema sana. Ndoa za siku hizi ni za kipepea zinataka subira na utulivu wa akili.
Mkiendelea na huu ushindani mnaoumia ni ninyi wanawake. Wewe kama unaona ni ufahari kutoka na wanaume na kuwabadili kwa kigezo cha kwamba hawakidhi vigezo then jua ambae anachosha na kuchakaza mwili ni wewe si hao wanaume.
Wenzako wataendelea kulala na wanawake tofauti kila inapowabidi maana ni sehemu ya mahitaji ya mwili. Wewe unavyochovya kila mtu mpya kwanza unaharibu utamu wa huko chini, pili una risk kupata magonjwa ya zinaa maana maumbile yenu hayana ruhusa ya kuingiliwa hovyo hovyo bila utaratibu lakini mbaya zaidi stress za mahusiano na wata tofauti huwa zinawazeesha bila kujijua.
So nawaasa muache na muwe wavumilivu. Mtu asipokupa pesa kwani utakufa, si na wewe utafute huku ukicheki ustaarabu wa ndoa yenu.
Ukiona mwanaume hana dalili ya kufanya maisha na wewe na kukugeuza mke basi achana nae mchana kweupe na sio kwa kuachana nae kihuni au kiholela. Muache kwa kikao maalumu cha kumuonyesha alizingua wapi na umejitahidi mara ngapi kumpa nafasi ajirekebishe amekupuuza na umuonyeshe madhara ya anachofanya kwako na kwake pia.