Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Tafuta hela ule maisha weweee…ukipenda demu honga mkamue mbususu mpk awe anakumbuka guu lako..next tym atakwambia tu nimekumiss akija unamkamua anapewa nauli anasepaaa…usipohonga utaita pisi kali shemeji mpk ukome[emoji41]
 
Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....[emoji17]

Nnajiuliza kwani hili swala ni geni? Ni jipya? Zamani wanaume walikua hawawapi pesa wapenzi wao? Wanawake walikua hawaombi hela? Hadi sasa iwe ishuuu yani kila kona ni malalamiko tu.....na hawa mnaolalamikia anakua ni mpenzi wako tu mmoja au rundo la wapenzi wote wanakuomba??? Mtu mmoja anaweza kukuomba pesa kiasi hicho hadi ikawa kero? Au ni nyie harakati zenu za pimbi ndio malipo yake haya? Una wapenzi wanne kila mmoja akiishiwa gas manake ni laki mbili hiyo [emoji16] ungekua na mmoja at least basi 50 sio mbaya, Hebu kuweni wazi NI MPENZI MMOJA TU NDIO KERO KIASI HICHO AU WAPENZI WAKO WENGI????

Mwanamke umekaa zako uko busy na maisha yako, anakuja mtu kavaa suruali anaanza saundi anakuomba omba vitu vyako eti ye ukimuomba chake inakua kero, hutaki kuombwa basi tulia zako nawe usiombe ombe vya watu?!!!! Yani eti utelezeee halafu umalize na ahsante, bro ahsante hailipi bill. Kuna wakulungwa watauliza kwani mnauza??? Hapana haziuzwi na hazitolewi bure.

Naamini mapenzi na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa, asikuambie mtu pesa ikiwepo inaongeza furaha, amsha amsha na nyeg* katika mapenzi, mtabisha tu Ila ndio ukweli.....

Cheers kwenu wanaume mnaotoa bila kinyongo bila maneno maneno, mbarikiwe sana muongezewe zaidi na zaidi, mpewe muda wote mnaotaka tena mpewe vizuri, mnaolialia kuombwa pesa muuliwe tu nyie.
Ladies msimamo ni upi? Tuache au tuendelee...[emoji16][emoji16]
Hapana kinachoyafanya mapenzi yaende siyo pesa bali upendo. Pesa kazi yake ni kuendesha maisha siyo mapenzi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume tunapenda fleva toka kwa mademu mbalimbali na sio kusitick na mtu mmoja kama nimekuoa vile!

Unapambana na demu,unajilipua gharama za kufa mtu,siku anakuvulia nguo,demu anaharufu kali,Yai viza linasubiri! Hapo lazima mtu mzima akimbie,akatafute Chaka jingine! Napo vile vile,anakukana na papuchi imechakatwa kweli kweli,adometer inasoma 140,000km used huko,kwa nini papuchi isitoe sauti kama Fiat!!

Mwanaume ataweza vumilia kwa mke wake tu,huku kwingine hawezi hata kidogo,sasa na nyie mlishaona kwamba hadi akuvue nguo na akutane na hayo madubwasha,basi mfuko utoboke kweli kweli,kumbe wajuba tulishasoma mchezo zamani sana!!
Andika kwa herufi kubwa kubwa kila mtu asome huu ukweli

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Ongeza sauti maa.Haiuzwi wala haitolewi bure.Bila pesa hata nyege haziji na pussy hailowi[emoji2957][emoji2957].

Wanaume wanapenda pisi kali halafu kwenye kuzitunza wanaleta kelele[emoji23][emoji23]
Ukikuta wanachambua pisi nawauliza mko tyari kumwaga mipesa?basi kama hamuwezi waachie wanye maela yao
 
Naweza honga, nyumba,gari,kiwanja na pesa nyingi tu,lakini uwe umetulia sio nahonga gari,kesho namkuta mtoto wa miaka 22,kanyoa kiduku, suruali ipo chini ya makalio ndiyo anakutomber tena! Aiseeeee!
Ewaaa, umemaliza, kiwango cha kuhonga kinategemea uthamani wa pisi yenyewe, kama cha wote ipite hivii
 
Katika maada zinazo zifatilia kwa ukaribu leo ni hii aisee
Wanamke kama vile bado hawajajua sisi wanaume wa skuizi tunawanunua ujana upite halafu ikifika umri wa kuoa yeye kasha tepeta unachukua zako pisi cha ajabu utakutana nae kwa mwamposa akiombewa apate mume
Shindwa shetani

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom