Wanaume kuwa na tabia za kikekike ni janga linaloikumba Nchi yetu

Ok nimekuelewa na haikuwa na haja ya kuwa too defensive. Pia neno attention kwenye online or business world ni next step baada ya kuwa visible na haina maana mbaya kama ulivyoishukia kwa nguvu zote.

Yote kheri lakini cha msingi ufanye unachokipenda. Pia kila la kheri kwenye safari yako ya kutengeneza "influence"

"Taikoni wa fasihi"

Barikiwa Sana.

Kwa mazingira ya watanzania, ambayo kila jambo wanachukulia negative ni lazima utilie mkazo kwa kila neno
 
Robert Heriel Mtibeli ni kinara wa kuponda wanawake. Yupo hivyo siku zote.

😀😀

Tatizo nikisema ukweli Watu wanarusha mawe.
Jiwe hili limerushwa upande wa kiumeni ndio maana unaona hizi sarakasi.

Kwa uelewa wako embu niambie ni kipande gani hapo kwenye Uzi nimewaponda au kuwanyanyasa wanawake?

Ninachopondaga au kukosoaga mimi siku zote ni tabia hovyo, iwe zinafanywa na wanawake au wanaume.
 
Mwanamme wa aina hiyo lazima atakuwa na matatizo ya kisaikolojia.

Ama atakuwa ni mwanamme ambaye hawezi kupata wanawake, wanamkataa, hivyo ana kinyongo nao.
Kwa sababu yoyote ile, ama hana ujanja wa kutongoza, ama hana hela ya kuvutia, ama hana ushawishi.

Ikiwa anaweza kupata wanawake, basi atakuwa ni mwanamme mufilisi katika kujiamini, anaona mwanamke ni tishio kwake, anashindana na mwanamke, anachukia mwanamke (misogyny), ni mtu ambaye hawezi kuwa na upendo wa kweli kwa mwanamke, anataka kujiweka juu ya mwanamke muda wote.

Wanaume wanaojitambua kamwe hawawezi kuishi kwa mitazamo hii, kwa sababu wanaelewa umuhimu wa wanawake.
 
😀😀

Tatizo nikisema ukweli Watu wanarusha mawe.
Jiwe hili limerushwa upande wa kiumeni ndio maana unaona hizi sarakasi.

Kwa uelewa wako embu niambie ni kipande gani hapo kwenye Uzi nimewaponda au kuwanyanyasa wanawake?

Ninachopondaga au kukosoaga mimi siku zote ni tabia hovyo, iwe zinafanywa na wanawake au wanaume.
Bango lako linaonyesha wazi kwamba hizo tabia tajwa mnawasingizia tu wanawake, mmekariri kwamba kila tabia mbaya basi ni ya mwanamke...
Sasa umekua ukiwa unashuhudia kwamba hata wanaume wanazo hizo tabia.
 
Mwanaume wa aina hiyo lazima atakuwa na matatizo ya kisaikolojia.

Ama atakuwa ni mwanamme ambaye hawezi kupata wanawake, wanamkataa, hivyo ana kinyongo nao.
Kwa sababu yoyote ile, ama hana ujanja wa kutongoza, ama hana hela ya kuvutia, ama hana ushawishi.

Ikiwa anaweza kupata wanawake, basi atakuwa ni mwanamme mufilisi katika kujiamini, anaona mwanamke ni tishio kwake, anashindana na mwanamke, anachukia mwanamke (misogyny), ni mtu ambaye hawezi kuwa na upendo wa kweli kwa mwanamke, anataka kujiweka juu ya mwanamke muda wote.

Wanaume wanaojitambua kamwe hawawezi kuishi kwa mitazamo hii, kwa sababu wanaelewa umuhimu wa wanawake.

Na mwanaume wenye tabia za ubinafsi, ukatili na unafiki ndio wanaweza kuishi na kuona umuhimu wa wanawake si ndio?
 
Bango lako linaonyesha wazi kwamba hizo tabia tajwa mnawasingizia tu wanawake, mmekariri kwamba kila tabia mbaya basi ni ya mwanamke...
Sasa umekua ukiwa unashuhudia kwamba hata wanaume wanazo hizo tabia.

Kumbe unaakili.
Hayo mengine nawaachia wenyewe kila mtu na akili yake.

Mtu ukishindwa kuijua akili yako vyema utawezaje kuzijua akili za Watu wengine?

Kila mtu akisoma anaupeo na akili yake katika tafakuri na uchambuzi kadiri ya mada ilivyomgusa, maslahi na uelewa wake. Hivyo tuu.
 
Na mwanaume wenye tabia za ubinafsi, ukatili na unafiki ndio wanaweza kuishi na kuona umuhimu wa wanawake si ndio?
Post yako ya kwanza imejaa ubinafsi, ukatili, unafiki na ujinga, kwa hivyo hapa unajiongelea mwenyewe bila hata kujua.

Kwa sababu wewe ni mjinga unayeelekea upumbavu.

Kwa sababu hata ukieleweshwa unakumbatia ujinga wako.
 
Kumbe unaakili.
Hayo mengine nawaachia wenyewe kila mtu na akili yake.

Mtu ukishindwa kuijua akili yako vyema utawezaje kuzijua akili za Watu wengine?

Kila mtu akisoma anaupeo na akili yake katika tafakuri na uchambuzi kadiri ya mada ilivyomgusa, maslahi na uelewa wake. Hivyo tuu.
Yaani hapo umeua ndege wawili kwa jiwe moja. Umeamua kuwaponda wote wanawake na wanaume.

Ambacho unatakiwa utambue ni kwamba tabia haina jinsia, hizo tabia wanaume wanazo pia miaka yote ila wanaume mliamua kuziita ni za kike (hapo ndo unapomgandamiza mwanamke kwa uongo wako) but in real sense hata wanaume wanazo tena inawezekana kuzidi wanawake.
 
Yaani hapo umeua ndege wawili kwa jiwe moja. Umeamua kuwaponda wote wanawake na wanaume.

Ambacho unatakiwa utambue ni kwamba tabia haina jinsia, hizo tabia wanaume wanazo pia miaka yote ila mtu wanaume mliamua kuziita ni za kike (hapo ndo unapomgandamiza mwanamke kwa uongo wako) but in real sense hata wata wanaume wanazo tena inawezekana kuzidi wanawake.

Kisaikolojia zipo tabia za kike.
Ingawaje zipo tabia ambazo jinsia zote tunaweza kuwa nazo.
Pia zipo tabia ambazo kiasili zinanguvu zaidi kwa jinsia ke kuliko Me. Na kinyume chake.

Kuhusu umbeya hiyo ni tabia inayowavutia zaidi wanawake kutokana Saikolojia ya Wanawake kupenda kujadili zaidi personal issues na hisia zao kwa wengine.
Hii ni tofauti na wanaume ambao kisaikolojia wao huvutwa kujadili zaidi matukio na matendo.

Ishu ambayo itanifanya niongee ni kuwa Mwanaume kuwa mbeya( sio vizuri) kama Mwanamke ( kwake ni sahihi kutokana na maumbile).

Sio tusi kumuita Mwanamke mbeya.
Sio tusi kumuita mwanamke anajipodoa au ni mrembo.
Ila kwa upande wa pili ni tusi.

Kwa upande wa wanawake tatizo ambalo wengi wenu mnaona kama ninawachukia ni kuhusu kupenda Kitonga na uvivu na tabia zingine ambazo sio nzuri.
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba wanaume wa siku hizi wanazaliwa na chembechembe za kike?
 
Post yako ya kwanza imejaa ubinafsi, ukatili, unafiki na ujinga, kwa hivyo hapa unajiongelea mwenyewe bila hata kujua.

Kwa sababu wewe ni mjinga unayeelekea upumbavu.

Kwa sababu hata ukieleweshwa unakumbatia ujinga wako.

Kwa sababu wewe tayari ni Mpumbavu basi nisubiri nifikie hatua yako.
Mpumbavu wa kiwango cha juu ni yule ambaye anakataa na kupinga uwepo wa Mungu.

Huwezi ukanielewesha ikiwa mambo madogo yanakupiga chenga.

Nimekuambia ni wapi kwenye post yangu nimemponda au kumdhalilisha au kumnyanyapaa Mwanamke naona unarukaruka tuu
 
Hatuwezi kuelewana na mimi sina muda wa kujibizana na wapumbavu.

Nakupa ujumbe huu wa mwisho kabla ya kukupeleka ignore list.

Baada ya hapa sitaona maandishi yako yoyote.

I am placing you in my ignore list because you are an idiot.

15 lessons from How To Deal With Idiots: (and stop being one yourself) by Robert I. Sutton:

1. Identify idiots early. The sooner you can identify an idiot, the sooner you can start to protect yourself from them.

2. Don't try to change idiots. Idiots are not going to change, so don't waste your time and energy trying to do so.

3. Don't take idiots personally. Idiots are not attacking you personally, they are just being idiots.

4. Set boundaries with idiots. Don't let idiots into your life if you don't have to.

5. Don't argue with idiots. It's a pointless exercise.

6. Don't try to explain yourself to idiots. They won't understand.

7. Don't try to reason with idiots. They are not reasonable people.

8. Don't try to please idiots. They are impossible to please.

9. Don't expect idiots to appreciate you. They don't have the capacity to do so.

10. Don't let idiots ruin your day. They are not worth it.

11. Don't become an idiot yourself. It's easy to do, but it's important to remember that there is no excuse for bad behavior.

12. Learn to laugh at idiots. It's the best way to cope with them.

13. Don't take yourself too seriously. Idiots will try to make you feel bad about yourself, but don't let them.

14. Remember that you are not alone. Everyone has to deal with idiots at some point in their lives.

15. Be kind to yourself. Dealing with idiots can be stressful, so make sure to take care of yourself.

Sutton's book is a humorous and insightful guide to dealing with idiots. It is a must-read for anyone who has ever had to deal with a difficult person.

I hope these lessons help you to deal with idiots effectively and to protect yourself from their negative influence.

BOOK: Amazon.com
 
Daah! Sasa kingereza chote hicho ni kwaajili ya mtu unayeenda kumpuuza?😂😂

Yaani kukuita Mpumbavu tuu unakimbia na kununa?

Wewe kama umemuweka aliyekuumba kwenye ignore list yako unafikiri nani anataka kuzingatiwa na wewe?

Siku ukijua na kutambua uwepo wa Mungu ndio unitoe kwenye hiyo list ya uliowapuuza.

Pole sana Bro
 
Back
Top Bottom