Wanaume kuweni makini na wake zenu, hasa kipindi cha mafanikio

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Mifano ya wanaume walioingia kwenye taabu na wengine kupata kifo kwa iko mingi katika jamii.

Wanawake ulimwenguni wamechoka kuwa chini ya wanaume. Wanapenda sana kuolewa (ndoa) kuliko wanaume lakini wakiwa ndani ya ndoa wanaanza kutamani kuishi kwa Uhuru.

Kuna kabila liko Dar na Pwani, hao wadada mukinunua tv 32 inches, kitanda , sofa na redio anawaza kugawana hizo mali, akili yake inaona ni mali nyingi.

Wanawake wengi wakiona maduka 2, gari, nyumba 2 hapo anatamani talaka , ukizubaa unamalizwa kibabe mchezo unakwisha.

Hivi munaijua sumu ya kuua polepole nyie?

Unawekewa kila siku kidogo sana, baada ya mwaka figo sijui ini halifanyi kazi unazikwa.

Kipindi cha mafanikio jaribu kumpenda mke wako kabla hajavaa joho la bwana Ibilisi.
 
Ukikutana Na Mwanamke Fahamu Umekutana Na Mwanamke Mpumbafu.

Mwanamke Mpumbafu Ubomoa Nyumba Kwa Mikono Yake Mwenyewe.

Usikurupuke Sana Kuoa Haya Mambo Hayahitaji Haraka.
 
Wanaume mna mengi ya kuvumilia na kuishi kwa akili na wenza wenuuu
 
Ukiachana na wanawake na wanaume bado Kama binadamu unabidi kupambana na kuliishi kusudio lako huwa nashangaa watu wanavyouana Kwa vitu vidogo Kama nyumba ,gari na baishara.
 
Vijana wana matatizo sana ,kama ndoa ije kukusaidia mpaka uzeeni inakuwa sio kusudio kwa sababu hawa wanaofunga ndoa wakiwa na miaka chini ya 30 ila mpaka miaka 40 ndoa hamna tena hata ile hamu imepotea.

Kijana bora kusubiri uoe au uolewe ukiwa mkubwa kuliko kuingia mapema ukapata maunivu ya ajabu .

Vijana mnachezea ndoa zaidi ya kuzaa watoto wa hovyo wanaokosa malezi ya wazazi wote wawili ,ukishapeana mimba mnaharakisha ndoa mwisho wa siku ni kusaga meno.
 
Mifano ya wanaume walioingia kwenye taabu na wengine kupata kifo kwa iko mingi katika jamii.
Wanawake ulimwenguni wamechoka kuwa chini ya wanaume. Wanapenda sana kuolewa (ndoa) kuliko wanaume lakini wakiwa ndani ya ndoa wanaanza kutamani kuishi kwa Uhuru.
Kuna kabila liko Dar na Pwani , hao wadada mukinunua tv 32 inches, kitanda , sofa na redio anawaza kugawana hizo mali, akili yake inaona ni mali nyingi.
Wanawake wengi wakiona maduka 2, gari, nyumba 2 hapo anatamani talaka , ukizubaa unamalizwa kibabe mchezo unakwisha.
Hivi munaijua sumu ya kuua polepole nyie?
Unawekewa kila siku kidogo sana, baada ya mwaka figo sijui ini halifanyi kazi unazikwa.
Kipindi cha mafanikio jaribu kumpenda mke wako kabla hajavaa joho la bwana Ibilisi.
🤣
 
Imeandikwa ishi na mwanamke kwa hakili. Ndoa ni kitu kihitajicho busara hakili kubwa kuimudu hasa ndoa za kizazi hichi chaleo kijuacho tamaa kuliko upendo. Haki ndoa ni kazi ya hakili na ubongo na mwanaume ndo wapaswa kuiongoza. Mwanamke akitaka kua juu yako mwonyeshe kua lolote lawezekana kuachika au la. Shetan hapendi ndoa so Olewao wafungao ndoa shetan yuko vitan
 
Kibaya ninachowahurumiaga unakuta mwanaume anapitia changamoto mfanano wa hii lkn hasemi anabaki anumia rohoni , ni mbaya sana jifunzeni kuzungumza na mnaowaamini kusema kitu inakupa haueni japo kidogo.
 
Wanawake wengi wanaolewa ili kupata urahisi wa maisha na sio upendo wa kweli.

KATAA MATAPELI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mifano ya wanaume walioingia kwenye taabu na wengine kupata kifo kwa iko mingi katika jamii.

Wanawake ulimwenguni wamechoka kuwa chini ya wanaume. Wanapenda sana kuolewa (ndoa) kuliko wanaume lakini wakiwa ndani ya ndoa wanaanza kutamani kuishi kwa Uhuru.

Kuna kabila liko Dar na Pwani, hao wadada mukinunua tv 32 inches, kitanda , sofa na redio anawaza kugawana hizo mali, akili yake inaona ni mali nyingi.

Wanawake wengi wakiona maduka 2, gari, nyumba 2 hapo anatamani talaka , ukizubaa unamalizwa kibabe mchezo unakwisha.

Hivi munaijua sumu ya kuua polepole nyie?

Unawekewa kila siku kidogo sana, baada ya mwaka figo sijui ini halifanyi kazi unazikwa.

Kipindi cha mafanikio jaribu kumpenda mke wako kabla hajavaa joho la bwana Ibilisi.
da!! mimi nilistuka mapema sana!!!
 
Basi sisi ni wabaya sana aisee.Poleni sana wakuu
 
Davies mosha

Kawainua wanaume kule

Ova
 
Back
Top Bottom