Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Mkuu, MKEO HALISI SI HOJA.Mke wangu hawezi kuwa mfanyabiashara na hafanyi biashara .
Nimemtoa Bikra akiwa na miaka 17 hivi sasa ana 33, si tu hawezi kuwa na mazoea na wanaume hata namba yake huwezi kuwa nayo si kwa sababu nimempangia au namzuia la hasha
Ni misimamo yake mwenyewe yani anaogopeka kazini kwake
Ukiamua kutumia taarifa za mkeo kutetea hoja basi uwe tayari kuleta taarifa kamili si nusu nusu za upande unaokufavour tu sababu mkeo hatumjui.
Unasema mkeo ana misimamo, misimamo kwa nani? kwa wanaomtongoza? Huwa anatongozwa? mkeo ni mrembo kiasi cha kuvutia wanaume wengine au umeoa chaguo lako lisilotongozeka ili usigongewe? Ana makalio yanayovutia? una uhakika gani kuwa version ya mkeo unayoijua ndiyo inayojulikana kwa jamii yote inayomtongoza?
ACHANA NA MAMBO YA MKEO HALISI, USIMUHUSISHE.
Niliposema mkeo sikumaanisha mkeo halisi, sijui hata kama una mke, nilitengeneza lugha ya picha, scenario ambayo itakuonyesha hakuna guarantee kuwa kutoa bikira kunazuia uzinzi.
Uliposema mke wangu ambae sikumkuta bikra hakuna popote nilipopingana na wewe maana najua hujui status halisi ya maisha yangu ila niliassume kuwa umetumia lugha ya picha ili nione namna asiye bikira anavyozini sababu ya background yake.
Sasa Turudi kwenye swali, ni vipi mwanamke uliyemtoa bikira anatoa guarantee ya kutokuzini iwapo utamuoa?
Ukijibu usitumie uzinzi wa asiye na bikira kama ushahidi kuwa aliye na bikira hatozini. Toa sababu kuwa kwanini ukimtoa mwanamke bikira ukamuoa hatozini ili nichalange majibu yako.