Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela

Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua.

Hujiulizi ni kwanini Mungu aliweka bikira kwa wanawake?

Yamkini sio kwamba Mungu hakuwapenda wanawake ambao hawakuwa na bikira lakini aliona amtumie Maria ambaye alikuwa bikira ili kupitia yeye Yesu(masihi) azaliwe wala hakutaka azaliwe kwa mwanamke used hujiulizi kwa nini?

Yote 9 kumi mwanaume unatoa wapi roho ngumu ya kuoa single mother kabisa kabisa ni kwamba hata ushauri wa Natafuta Ajira huuzingatii?

Je mnawezaje wenzetu kuishi na mwanamke aliyetumika nawe ukaamua ukiwa na akili zako timamu kugharamia mwanamke used?

Halafu bahati mbaya kwenye harusi zenu mnachangisha ufadhili maelfu ya shilingi kwa kitu kilichotumika ajabu sana.
Halafu serikali imelikalia kimya hili jambo dah..!!!
 
Mwanaume na mwanamke hawapimwi kwa kigezo kimoja kwa sababu majukumu na matarajio kijinsia ni tofauti.

Mwanaume anaenda kwenye ndoa kuwa kiongozi, provider na protector kwahiyo vigezo vitakavyomuhuku ni finance and stability.

Mwanamke anaenda kuwa follower, complementor. Kwahiyo vigezo vitakavyomuhuku ni loyalty na purity(bikira)

Mwanaume hata akiwa na promiscuos past kama stable kimaisha past yake haina ishu. Mwana. Mwanamke ata akiwa masikini anaweza kuingia kwenye ndoa lakini kama past yake mbaya hicho ni kipengere
Lamination wanafanya wapi
 
Sidhani kama kuna utofauti wa bikira iliyotolewa na mwanaume aliyesaini makaratasi na bikira iliyotolewa bila huo utaratibu.
Tofauti ipo bana, usitake ku justify kitu ambacho si cha ukweli.

Fikiria huu mfano Mkeo huyo uliyenae tumetomb watu 15+ na kila mmoja alikuwa anamfanya awe submissive vile tunavyotaka umeoa unadhani katika hao 15+ hakuna hata mmoja ataendelea kumkunja as long as kuna mahala wanaonanaga?
 
Na mkeo ambae ulimtoa bikira akiwa na miaka 20 sasa ana 28 na huna pesa ya vikoba alivyokukopea ulipe kodi ya nyumba na wahuni wanakusadia kulipa kwa kumtoa bikira zingine ambazo zilikushinda?

Leta uhakika kuwa bikira uliyoitoa itazuia mkeo ambaye kaamua kuwa mzinzi asifanye uzinzi na sio kutumia uzinzi wa asiye na bikira kufuta uzinzi wa uliyemtoa bikira.
 
Duuh taratibu mkuu hio meza unayoitishisha ina vinywaji vya gharama kubwa sana
Hajawajua wanawake huyu....

Mwanamke anakuwa bikira mara moja tu, akitoka hapo anakuwa mwanamke wa dunia.

Omba Mungu tu awe na hofu na asiwe na tamaa.

Kuna watu wanaamini wakioa mabikira wamemaliza kila kitu, siku wakipigwa matukio, wanawazika au wanazikwa
 
Nadhani ni uoga wa kugongewa unakuwa juu mpaka unaweka utando kwenye ubongo mtu anakuwa hafikiri sawasawa.

Huko vyuoni tu wapo wanawake wana mahusiano na kijana mmoja tu aliyemtoa bikira, mziki unaanza binti akiingia kwenye ajira au field akakutana na mameneja. Unaoa binti uliyemtoa bikira ila anatoa kwa boss wake aliyempa kazi au boss waliyekutana field.

Hahaha, kama kizazi hichi bado kijana anaamini akimtoa bikira mwanamke akamuoa kamaliza basi tutegemee vilio vingi sana kutoka upande wa vijana.
 
Na mkeo ambae ulimtoa bikira akiwa na miaka 20 sasa ana 28 na huna pesa ya vikoba alivyokukopea ulipe kodi ya nyumba na wahuni wanakusadia kulipa kwa kumtoa bikira zingine ambazo zilikushinda?

Leta uhakika kuwa bikira uliyoitoa itazuia mkeo ambaye kaamua kuwa mzinzi asifanye uzinzi na sio kutumia uzinzi wa asiye na bikira kufuta uzinzi wa uliyemtoa bikira.
Mke wangu hawezi kuwa mfanyabiashara na hafanyi biashara .

Nimemtoa Bikra akiwa na miaka 17 hivi sasa ana 33, si tu hawezi kuwa na mazoea na wanaume hata namba yake huwezi kuwa nayo si kwa sababu nimempangia au namzuia la hasha

Ni misimamo yake mwenyewe yani anaogopeka kazini kwake
 
Back
Top Bottom