SawaKama ww n kijana unayejitafuta, Achana na mahusiano serious na single mother
SawaKama ww n kijana unayejitafuta, Achana na mahusiano serious na single mother
Acha kutusagia kunguni bhna🤣Riziki gani? Kwamba unakuwa na huyo kijana ili akuhudumie?
Naomba kuuliza,hivi kwa nini huwa mnakuwa warahisi sana kurudi na kushawishiwa na wanaume mliozaa nao kupasha kiporo hata kama mna mahusiano mengine?Acha kutusagia kunguni bhna🤣
Naomba kuuliza,hivi kwa nini huwa mnakuwa warahisi sana kurudi na kushawishiwa na wanaume mliozaa nao kupasha kiporo hata kama mna mahusiano mengine?Acha kutusagia kunguni bhna🤣
Astghafirullah 🙌 sio kila mwanamke anafanya hivyo ni kwambie tu single mama na binti asie single mother wapo sawa sawa kila kitu kasoro huyo mtoto ndio hufanya ionekane tofautiNaomba kuuliza,hivi kwa nini huwa mnakuwa warahisi sana kurudi na kushawishiwa na wanaume mliozaa nao kupasha kiporo hata kama mna mahusiano mengine?
Uko sahihi kwa upande wako.Astghafirullah 🙌 sio kila mwanamke anafanya hivyo ni kwambie tu single mama na binti asie single mother wapo sawa sawa kila kitu kasoro huyo mtoto ndio hufanya ionekane tofauti
Mm sina uhakika kama mtu alie move on anaweza kurudi kuliwa kisa tu et mna mtoto pamoja
Hata amabao hawakuzaa pamoja wanapasha viporo mbona
Mapenzi nayo ni upuuzi mwingine 📌
Hapo kuna tatizo la uchumi kwamba anajitweza utu wake ili apate huduma hii sasa chanzo ni kua tegemeziUko sahihi kwa upande wako.
Lakini binafsi kutokana na ufatiliaji wangu nimeona ma single mother wengi sana wakiwa dhaifu kwa wazazi wenzao.
Na sehemu ambayo wengi huwa wanashikwa ni kwenye kuhudumia mtoto,unakuta jamaa aliyezaa naye anataka apewe mzigo kwanza ili aendelee kuhudumia mtoto wake,hii imekuwa ikifanya single mother wengi waliwe na wazazi wenzao bila kujali kuwa wana mahusiano mengine.
Na kitu kingine wanaweza kuwa wameachana kweli lakini siku wakikutana inakuwa kama hasi na chanya,lazima litokee jambo.
Hio ni kwa mujibu wa wanawake ambao binafsi nilikuwa nawachunguza ambao nilikuwa na mahusiano nao. Na hii ndio sababu kuu ya kwa nini vijana wanawasagia kunguni single mothers.
Nilikuwa natamani kusikia kutoka kwenu nyie wanawake(single mothers) kwamba kwa nini huwa inakuwa vigumu kwenu kuwaacha na kuwasahau watu mliozaa nao??
Hapa analaumiwa single mother kwa sababu yeye ndio mwenye uwezo wa kukataa kwamba ame move on na hawezi kushiriki kisa mtoto.Hapo kuna tatizo la uchumi kwamba anajitweza utu wake ili apate huduma hii sasa chanzo ni kua tegemezi
Kwann hapa analaumiwa single mama wakati hilo tendo ni wawili?
Eneweiiiii mimi ni single mama nilimwachia baba ake mtoto ili tusisumbuane 🤣🤣 hapo vp mie single mother wa namna gan alichangamka et 🔥
Mwisho kabisa mkuu mapenzi sio ya kila mtu 🙏
Na Simu MkuuGari nyingi zinazoletwa Tanzania kutoka Japan ni used lakini tuna zitunza na kutufikisha safari zetu. Mitumba waafrika tuna ipenda
Hapa analaumiwa single mother kwa sababu yeye ndio mwenye uwezo wa kukataa kwamba ame move on na hawezi kushiriki kisa mtoto.Hapo kuna tatizo la uchumi kwamba anajitweza utu wake ili apate huduma hii sasa chanzo ni kua tegemezi
Kwann hapa analaumiwa single mama wakati hilo tendo ni wawili?
Eneweiiiii mimi ni single mama nilimwachia baba ake mtoto ili tusisumbuane 🤣🤣 hapo vp mie single mother wa namna gan alichangamka et 🔥
Mwisho kabisa mkuu mapenzi sio ya kila mtu 🙏
Naomba nikujibu : HAPANAHapa analaumiwa single mother kwa sababu yeye ndio mwenye uwezo wa kukataa kwamba ame move on na hawezi kushiriki kisa mtoto.
Wewe unaonekana ni singe mother uliyechangamka kweli kama ulivyosema😂😂,maana sijawahi kuona single mother akiwa tayari kuacha mtoto alelewe na baba yake,wengi huwa wanang'ang'ania kubaki na mtoto na ukichunguza sababu kuu ni ili waweze kupata huduma kutoka kwa mzazi mwenzao na mtoto awe kiunganishi kati yao.
Hapo unaposema mapenzi sio ya kila mtu unakosea,unataka uniambia kuna watu hawana uwezo wa kupenda na kupata hisia??,hilo ni hapana maana kila mtu binadamu aliyekamilika anapenda na kupata hisia.
Mwisho naomba nikuulize,naomba ujibu kutoka moyoni bila kujibu kwa lengo la kujibu tuu.
"Ikiwa mzazi mwenzako leo akikufuata na kukuomba mrudiane ili mumlee mtoto wenu ili mtoto apate upendo wa baba na mama na kuepusha kuzaa kila mtoto na mama tofauti na akaonesha nia thabiti,je utakataa au utakubali"???
Asante kwa majibu yako .Naomba nikujibu : HAPANA
Watuwezi kurudiana hata duniani tukibaki 2 itabidi mmoja afe
Siwezi kuishi na mtu kwa lengo tu kulea mtoto/watoto huku najifia taratibu kwa mawazo
Mtoto unamuachia akae nae eee maana ili kukata mzizi wa fitina
Yaan single Father ana haki ya kulea bao lake mimi nitaenda visit tu 😎

Maisha ni kupanga na kupanga nikuchagua mkuu mimi spendi matatizo nikiona kama nikifanya kitu kitaniletea matatizo naacha mapemaAsante kwa majibu yako .
Kama uliyosema ni ya kweli basi wewe ni mwanamke wa tofauti,sijawahi kuona single mother wa namna yako ambaye atakubali kukabidhi mtoto kwa baba yake.
Lakini wengine ni vichwa ngumu
Mungu akuongoze
Lile swali la mapenzi sio ya kila mtu sijakujibu : nakujibu sasaAsante kwa majibu yako .
Kama uliyosema ni ya kweli basi wewe ni mwanamke wa tofauti,sijawahi kuona single mother wa namna yako ambaye atakubali kukabidhi mtoto kwa baba yake.
Lakini wengine ni vichwa ngumu
Mungu akuongoze
Mila za kwetu ni kosa kuongea na mwanamke alie periodNipo kupatwa kwa jua
Hata nichizike sipigiUjadata wewee
Huyo naye alipinga sana! Kiko wapi?Hata nichizike sipigi
Kwa sababu gani, jichanganye ujute. Kwanza zamani gani hizo na Id yako ya zamani ni ipi?Hafu zamani nilijua we ni ke..