Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

Ila ukweli utabaki palepale kuoa mwanamke aliyetumika ni uchafu na anauwezekano mkbwa wakuchepuka kwasababu hata wewe umemkuta katika utaratibu huo, ila yule Ambae ulimkuta Bado anapasenti ndogo sana ya kuchepuka, fuatilia tafiti nyingi zinaonesha hivyo. Wanaume wengi tunapinga hapa kwenye jamvi kwasababu tumeoa ndaza. Harafu mazingiria ya nchi maskini wanawake wanafasi ndogo ya kujitunza hii nikutokana na umasikini na malezi mabovu Binti WA miaka tisa unakuta ameanza ngono Kwa hiyo tutaendelea kuoa Malaya TU a. K.a ndaza
 
Ukikuwa, utakuja omba mode wafute huu uzi wako.
Wewe ni miongoni mwa simp wanaogharamia ndoa kwa mbwembwe kwa kitu used kilichopitiwa na kila aina ya mjegeje?

Hilo kwangu big NO aise. Amkeni usingizini ndiyo maana wanawake hawaoni umuhimu wa kujitunza kabla ya ndoa wakiamini kuna simp watawagharamia kwenye harusi zao.
 
Unanifahamu kwani ? Hadi kusema mie ni miongoni mwa mwa ?

Nimeongea uhalisia na general ya hali ya duniani kwa sasa .
 
Ni vitu vya kusadikika tu mkuu hakuna faida wara madhara ya kuowa au kuto kuowa bikra

Napia

Sasa hivi uki bahatika kuku tana na bikra mbele basi nyuma si sarama

Maisha yame change Sana mkuu
Sio kweli mkuu. Mabinti wanaolelewa katika maadili mema kabisa wapo na bikra zipo za kutosha labda uvivu wako wa kufanya vetting.

Hasara ya kuoa mwanamke used ipo maana miongoni mwa wanaume waliopita naye lazima yupo/wapo waliomkuna vema kabisa kukuzidi hivyo kunguru hafugiki lazima atajipeleka tu kukumbushia.
 
Unanifahamu kwani ? Hadi kusema mie ni miongoni mwa mwa ?

Nimeongea uhalisia na general ya hali ya duniani kwa sasa .
Wewe umeongea general rule mimi nikaongea exceptions kuna shida gani?
 
Mwanaume ukichagua kuoa used parts hakikisha mahari haizidi elfu 30 hadi 50 ili ikitokea sintofahamu haiumizi kwakuwa gharama ni nafuu.

Haiwezekani manzi akiwa kwenye peak aliwe na wahuni kwa kiepe yai halafu mwanaume mwingine amuweke ndani kwa mahari inayovuka laki 5. Ridiculously ridiculous.
 
Kuoa single mother ndiyo kwikwi kabisa tumeshuhudia vijana kila siku wakija kulalama humu kwa kupigwa matukio.

Yaani single mother hata aachane na mzazi mwenzake kwa kashfa na kejeli as long as walishazaa usijichanganye maana hasira zikiisha tu lazima amkumbuke mzazi mwenzake na atampelekea muda wowote akimhitaji.

Ni simu moja tu mzigo umetia nanga maghetoni. Shida ya baadhi ya wanaume hawaamini shuhuda za wenzao wakiamini labda wao watakuwa so special kwa single mother matokea yake wanakutana na vitu vizito wanalia mara mbili.
 
Just imagine mpo ndani ya ukumbi siku ya sherehe ya ndoa harafu meza yapili kutoka mlipo kaa mharusi Kuna watu wanapiga stori juu ya mkeo jinsi alivyoshughurikiwa mtaani, pale kazini

Bado Kuna msela anajigamba jana yake TU alienda getoni kwake kumuaga du yaani inaumiza sana .

Nahapo ukute sherehe ya kifahari zimetumika millions of money plus mahali kumbe unaoa mke WA watu ,Malaya ndaza. Kifupi wanaume huwa tunavunilia nakupotezea TU ,
LAKINI HAKUNA anaependa hiyo hali sababu kupata bikra ni kazi unafumba macho unaoa.
 
Sio kweli mkuu. Mabinti wanaolelewa katika maadili mema kabisa wapo na bikra zipo za kutosha labda uvivu wako wa kufanya vetting.

Hasara ya kuoa mwanamke used ipo maana miongoni mwa wanaume waliopita naye lazima yupo/wapo waliomkuna vema kabisa kukuzidi hivyo kunguru hafugiki lazima atajipeleka tu kukumbushia.
Ukitaka mkeo aschepuke inabidi

1)uwe mlefu wewe mwenyewe na uwe mfupi wewe mwenyewe

2)uwe mweusi wewe mwenyewe na uwe mweupe

3)uwe na Hera Tena uwe maskini wewe mwenyewe

4)uwe chibonge wewe mwenyewe na uwe kimbau mbau wewe mwenyewe

5)uwe mpole Tena uwe mkali wewe mwenyewe

Hapo mkeo atakuwa wakwako peke Yako kinyume na hapo ume Keisha mkuu

Una mkumbuka marikia wa Sheba?

Alifwata nini Kwa suremani Pamoja na umarikia wake?
 
Kama unataka hizo tafiti za kuokoteza let me fix it for you.
Screenshot_20260308-083048~2.jpg
 
Mama zetu hapa wanaingiaje acha kutoa mifano hiyo, yeye anaongelea anaoweza kuwaoa Sasa wewe unaleta habari za mama, mbona makasriko we kubali TU Sasa HIVI tunaoa Malaya au ndaza
Mama zenu wanaingia kama mifano hai, ushahidi ulio karibu zaidi. Tena itakuwa vizuri wakiongezeka dada na shangazi walioolewa wakiwa bikira na wakiwa sio bikira.
 
Ila ukweli utabaki palepale kuoa mwanamke aliyetumika ni uchafu na anauwezekano mkbwa wakuchepuka kwasababu hata wewe umemkuta katika utaratibu huo, ila yule Ambae ulimkuta Bado anapasenti ndogo sana ya kuchepuka, fuatilia tafiti nyingi zinaonesha hivyo. Wanaume wengi tunapinga hapa kwenye jamvi kwasababu tumeoa ndaza. Harafu mazingiria ya nchi maskini wanawake wanafasi ndogo ya kujitunza hii nikutokana na umasikini na malezi mabovu Binti WA miaka tisa unakuta ameanza ngono Kwa hiyo tutaendelea kuoa Malaya TU a. K.a ndaza
Acha ukilaza nchi tajiri na zilizoendelea ndio wanawake wanafanya ngono zaidi kabla ya ndoa tena bila kificho, nchi zilizoendelea na nchi tajiri za kiarabu ndizo zina kiwango kikubwa zaidi cha talaka. Watoto wa kike wa matajiri wanafanya ngono sawa tu na watoto wa masikini tofauti ni kwamba wao wanafanya ngono salama zaidi ambapo inakuwa sio rahisi kupata mimba na magonjwa kama hao uswazi.
Kujitunza my foot.
 
Me kiukweli alinambia ukweli alitembea na mwanaume mmoja tu na nilimuelewa

Mkuu ni kitu ambacho wanaume wengine kinatuuma tunapotezea tu lakini wengi tulitamani tuwe wa kwanza kwa wake zetu kama mpango wa Mungu ulivyo

Kingine nimegundua kwa sasa wanaume wengi hawana time ya kuangalia past ya mwanamke
Kama anakuonesha upendo na kukuheshimu hiyo past ya kazi gani?

Nimedate na ke wanne wote walikuwa bikra ila baada ya kuzitoa tu wakakengeuka. Bikra sio sababu tosha ya kuamini kuwa ndio atatulia.

Kwa pisi nilizowai husiana nazo bikra si kigezo kwangu
 
Kigezo cha kwanza cha mke ni awe Mwaminifu. Hivyo akiwa hana bikira uaminifu hana huyo na sifa amekoswa.
Vigezo ni pamoja na tabia ukijumlisha na mwonekano wake wa nje.
Mke hamilikiwa kwa ufanano wa gari.
Tunatafuta mama wa kulea na kutunza familia kwa maadili yaliyo mema(hapa kila mtu anaweza kuwana sababu zake)

Bikra haitoki kwasababu ya sexual intercourse tu kijana. Inaweza toka hata kwa mazoezi tu.
 
Kama anakuonesha upendo na kukuheshimu hiyo past ya kazi gani?

Nimedate na ke wanne wote walikuwa bikra ila baada ya kuzitoa tu wakakengeuka. Bikra sio sababu tosha ya kuamini kuwa ndio atatulia.

Kwa pisi nilizowai husiana nazo bikra si kigezo kwangu
Hafu zamani nilijua we ni ke..
 
Mbona fresh tu, mwaka wa ngapi huu ndoa inasonga..
Yeye hajanikuta bikira, kanikuta tayari nina mtoto, mie bikira yake ya nini.. bikira sio tabia.
Mtu ana miaka 27 huko bado umkute bikira na unajua jinsi wanaume tulivyo na hila, jinsi tunavyojua kufosi..
Akifikisha 20 hivi kajitahidi sana..

Oa tabia ya mtu sio bikira.
 
Acha ukilaza nchi tajiri na zilizoendelea ndio wanawake wanafanya ngono zaidi kabla ya ndoa tena bila kificho, nchi zilizoendelea na nchi tajiri za kiarabu ndizo zina kiwango kikubwa zaidi cha talaka. Watoto wa kike wa matajiri wanafanya ngono sawa tu na watoto wa masikini tofauti ni kwamba wao wanafanya ngono salama zaidi ambapo inakuwa sio rahisi kupata mimba na magonjwa kama hao uswazi.
Kujitunza my foot.
Yaani nilichonoti wewe ni kijana WA 2000s mbona Mimi nimetoa TU maoni yangu sja mkashifu mtu habari ya ukilaza ina Toka wapi mzee , LAKINI ukweli unabaki palepale mabinti wengi katika nchi masikini huanza ngono mapema kuliko vijana WA kiume zipo tafiti hizo sio stories
 
Back
Top Bottom