Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

Hahaha, Hivi mkuu, mke ni nini? vigezo vya mke sahihi ni vipi? na kwanini hivyo vigezo ndo vigezo vya kupima usahihi wa mke? kwanini mke amilikiwe kwa ufanano na gari? ni nini huwa tunatafuta kutoka kwa mke?
Kigezo cha kwanza cha mke ni awe Mwaminifu. Hivyo akiwa hana bikira uaminifu hana huyo na sifa amekoswa.
Vigezo ni pamoja na tabia ukijumlisha na mwonekano wake wa nje.
Mke hamilikiwa kwa ufanano wa gari.
Tunatafuta mama wa kulea na kutunza familia kwa maadili yaliyo mema(hapa kila mtu anaweza kuwana sababu zake)
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kumbadili namaanisha kumuacha kisheria uchukue mwingine, kwanini isiwezekane?

Ukiwa mwanaume, ukawa stable, nature inakufavour, tena inakufavour kwa kiwango kwamba mwanamke anaogopa kukupoteza.

Sasa hivi shida ipo wapi? Kwanini inakuwa wanaume ndo tumekuwa waoga wa kupoteza mahusiano kabla hata hatujayaingia?

Hofu ya kugongewa? Hofu ya kusalitiwa, hofu ya kukimbiwa, hofu hofu hofu, kwanini?

Sio kwamba ilitakiwa tuwe in control kwa kiwango mwanamke akisikia una mchepuko anaogopa hata kukufumania ili asikupoteze?
Sio kwamba wanaume ni waoga, isipokua jamii ya wanaume ipo kwenye kipindi cha kujitafakari kama huyu mwanamke wa kisasa anastahili efforts na sacrifices za mwanaume.

Kuna ideology ya feminism ilipita kwa takribani miongo mitatu sasa. Bahati mbaya kidogo wanawake hawakuielewa vizuri. Walifikiri feminism imekuja kuwapa benefits tu bila kuwa na responsibilities zozote.

Hapo ndipo jamii ya wanaume imeamka na kuanza kumtafakari huyu mwanamke wa kisasa.
-anataka social freedom kama prostitute hapo hapo apewe status ya decent lady
-anataka aolewe kwa mahari wakati kigezo kinachotumika kutoa mahari(bikira) hana.
-anataka awe na kipato halafu ahudumiwe mahitaji yake.

Kikipita hiki kipindi cha kujitafakari na jamii ya wanaume kwa asilimia kubwa ikawa na msimamo mmoja kwamba hakuna kuoa mwanamke asie bikira au single mothers. Ndipo tutaona mabadiliko mtaani. Hata wanawake pia watarudi kwenye mstari, kwa sasa wanawake hawawezi kutilia maanani suala la kuishi promiscuos life au kuzaa bila kuolewa kwa sababu wanajua wakistaafu hayo maisha bado kuna wanaume watawaoa tu
 
Siku zote unapata wa kufanana naye. Hiyo ndio principle ya ulimwengu.

Haiwezekani uwe mwanaume au mwanamke malaya kisha upate mtu tofauti na hulka yako halafu mudumu. Lazima hasabu za cross multiplication zitafanyika kisha mtakuwa even.

Lazima muwe kwenye same level vibration ya energy ili mudumu. Malaya atapata Malaya, aliyetulia atapata aliyetulia.
Huu ni uongo mkubwa sana. Wanaume ambao hawana experience kubwa kwenye mahusiano mara nyingi ndio wanakuaga retirement plan ya wanawake waliotumika sana. Kwa sababu hawa wanawake wanajua hao wanaume wasiokua na uzoefu ni naive kwenye uwanja wa mahusiano. Wanatumia hiyo kama mbinu ya kuwalaghai.

Unafikiri wanawake wakishaingia third floor wanaendaga makanisani kufanya nini? Wanaendaga uko kuwawinda church boys, coz they know church boys are naive can be easily manipulated. Lakini bad boys ni ngumu kumlaghai kwa sababu tayari anajua uzoefu na wanawake. Ndio maana maana badboys wakiamua kuoa mara zote ndio wanaopataga wake sahihi.

Church boys huwa wanafika mpaka miaka 25 hawajawahi kufanya sex, lakini church girls hawavuki 20 wakiwa bikira. Jiulize hawa church girls wanafanyaga sex na wakina nani? jibu ni bad boys.

Badboys eat fresh, nice guys eat leftovers
 
Mwanaume anataka mke bikra huku yeye alisha date na wengine kwahiyo anajiona ana haki aoe bikra huku na yeye alikua mchafuzi AJABU😁
Mwanaume na mwanamke hawapimwi kwa kigezo kimoja kwa sababu majukumu na matarajio kijinsia ni tofauti.

Mwanaume anaenda kwenye ndoa kuwa kiongozi, provider na protector kwahiyo vigezo vitakavyomuhuku ni finance and stability.

Mwanamke anaenda kuwa follower, complementor. Kwahiyo vigezo vitakavyomuhuku ni loyalty na purity(bikira)

Mwanaume hata akiwa na promiscuos past kama stable kimaisha past yake haina ishu. Mwana. Mwanamke ata akiwa masikini anaweza kuingia kwenye ndoa lakini kama past yake mbaya hicho ni kipengere
 
100%
 
Ila wewe Jamaa kama vile umenipiga penyewe aisee.

Holoholo, njoo unitete kaka yako
ni hivi,ukitaka kuoa mwanamke bikra,hakikisha na wewe haujawahi kumwingilia mwanamke. Ikiwa umewahi kumwingilia mwanamke kimwili halafu bado unahtaji mwanamke bikra huo ni unafiki na hauhitaji kupigiwa chapuo. Mwambie alete utetezi wa hoja hii.
 
Huwa najiuliza mara nyingi, kwa nini tulipe mahari in this era, ambapo unakutana na binti ametembea na wanaume 10 huko? Unalipa mahari kwa sababu gani hasa?

Manake ni kwamba, ukikutana na binti ameshatu.ika you are not obliged to pay no dowry.

Ninapofanyia kazi kuna binti ana kama mwaka hivi, mtoto wa kiiraqw, naambiwa ameshatembea na vijana/wazee kama kumi hivi, in just one year, hao ni wale waliopo hapo kazini na maeneo ya jirani, hatujui huko anakoishi. Juzi ametolewa posa, tell me me mtu wa namna hiyo unatoa mahari ya nini?

Kuna vitu kama jamii tunatakiwa tupambane vifutwe, kama binti hakujitunza there's no point kumuumiza kijana kulipa mapesa.
 
Mwanamke aliyewahi kuingiliwa hana hadhi ya kulipiwa mahari, unalipiaje mahari kwa mtu aliyeshindwa kujitunza, kwa nini utumie rasilimali zako nyingi kuwapa watu asante ambayo hawastahili.

Mkikutana used basi fabyesni sherehe mkaishi, sio kulipishana mahela mengi wakati hakuna aliyejitunza kati yenu.
 
mahari ni utaratibu ambao wewe unakuwa umekubaliana nao mpaka unaamua kuilipa. Hata wewe unayetetea wanaume wasitoe mahari wewe ulitoa kwa huyo mwanamke uliye naye! Nikikuuliza kwa nini ulimtolea mahari mke wako? Hapo unatokaje?
 
Huwa najiuliza mara nyingi, kwa nini tulipe mahari in this era, ambapo unakutana na binti ametembea na wanaume 10 huko? Unalipa mahari kwa sababu gani hasa?

Manake ni kwamba, ukikutana na binti ameshatu.ika you are not obliged to pay no dowry.

Ninapofanyia kazi kuna binti ana kama mwaka hivi, mtoto wa kiiraqw, naambiwa ameshatembea na vijana/wazee kama kumi hivi, in just one year, hao ni wale waliopo hapo kazini na maeneo ya jirani, hatujui huko anakoishi. Juzi ametolewa posa, tell me me mtu wa namna hiyo unatoa mahari ya nini?

Kuna vitu kama jamii tunatakiwa tupambane vifutwe, kama binti hakujitunza there's no point kumuumiza kijana kulipa mapesa.
🫡
 
Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela

Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua.

Hujiulizi ni kwanini Mungu aliweka bikira kwa wanawake?

Yamkini sio kwamba Mungu hakuwapenda wanawake ambao hawakuwa na bikira lakini aliona amtumie Maria ambaye alikuwa bikira ili kupitia yeye Yesu(masihi) azaliwe wala hakutaka azaliwe kwa mwanamke used hujiulizi kwa nini?

Yote 9 kumi mwanaume unatoa wapi roho ngumu ya kuoa single mother kabisa kabisa ni kwamba hata ushauri wa Natafuta Ajira huuzingatii?

Je mnawezaje wenzetu kuishi na mwanamke aliyetumika nawe ukaamua ukiwa na akili zako timamu kugharamia mwanamke used?

Halafu bahati mbaya kwenye harusi zenu mnachangisha ufadhili maelfu ya shilingi kwa kitu kilichotumika ajabu sana.
Mke wako uliyemkuta Bikira nilimla akabaki anashangaa eti na yeye kumbe huwa anafika kileleni! Kwa tafasri ya haraka mwamba mke wako huwa humfikishi Mawenzi na Kibo!
 
Kiasili mahali ilitolewa Kwa mwanamke kama Asante na pongezi Kwa wazazi Kwa kulea vema Binti yao, Sasa unatoa mahali vizuri unakutana na mto rufiji au bwawa la Nyerere, kiukweli tunavunilia TU ila huko mbele hakuna atakae ona umuhimu WA kutoa mahali yaani Binti ana orodha ya wanaume zaidi ya ishirini ,Hilo litakuwa tundu au shimo
 
Hata Mimi wakwangu sikumkuta bikra, ila kiukweli Kila mwanaume angependa aoe bikra LAKINI ndo hivyo Tena, hio sio bahati ya Kila mmoja. Huwa nawaza TU yaani mtu anaweza kuloweka dudu yake kwenye kikopo alichokojolea mwanaume mwingine,? Huo ni uchafu ila hatuna namna. Pili kuhusu kuchepuka hiyo Haina uhakika yeyote anaweza kuchepuka ila alie zoea ni rahisi zaidi kwasababu wewe ulimkuta anafanya hivyo hawezi kulizika na mmoja yaani haoni shida kuwapanga
 
Mke wako uliyemkuta Bikira nilimla akabaki anashangaa eti na yeye kumbe huwa anafika kileleni! Kwa tafasri ya haraka mwamba mke wako huwa humfikishi Mawenzi na Kibo!
Hii kitu inauma mno najua ushapaniki tayari ila hata wanawake huwa wanajisikia aibu kulala na wanaume wengi....Fanya hivi muulize mkeo kaliwa na wahuni wangapi uone kama hatopunguza idadi unajua kwanini?
 
Back
Top Bottom