Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

Unataka mwanamke bikra ?
Wewe una uhakika ni bikra pia?
Hutaki alietumika huyo uliemtumia ukamuacha unataka asuswe pia?
Mpka hapo inaonesha hujawahi kabisa kupata bikra maisha yako yote 🤣🤣🤣
Na kama upo daslamu ndio hupati
Labda utafute wako umkuze mwenyewe
 
Wengi wameolewa na Machenza mpaka sasa ndoa zao wanazitunza na Wangapi wameolewa na machungwa mpaka sasa wameshindwa kizichunga?

Parklane
Mkuu mfano wako hauna mantiki kabisa.

Hivi mtu aliyenunua gari zero km na aliyenunua used wapo sawa?

Ndiyo kuharibika yatabaharibika lakini wewe uliyenunua used hujui history kwa kina ya hiyo gari abadani!

Kwanza wewe uliyenunua used itakupasa umwage oil šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Niliwahi kuwa na mahusiano serious na single mother, kwa vijana tunaojitafuta, aisee kaa mbali na single mother šŸ™Œ
Uko sahihi kabisa hawa wanatia huruma ukijichanganya tu imekula kwako period wanaonesha wema na mapenzi ya dhati ili uingie kingi mazima mazima kisha wanakunadirikia juu kwa juu. Utasikia nimempeleka mtoto kwa bibi yake baba mtoto wake kaniambia akamsalimiešŸ˜‚
 
Unataka mwanamke bikra ?
Wewe una uhakika ni bikra pia?
Hutaki alietumika huyo uliemtumia ukamuacha unataka asuswe pia?
Mpka hapo inaonesha hujawahi kabisa kupata bikra maisha yako yote 🤣🤣🤣
Na kama upo daslamu ndio hupati
Labda utafute wako umkuze mwenyewe
Una machungu sana. Hutofautiani na Pm wa nchi ya zibambwe baada ya kutokupigiwa vigelele akasema akipendwa na mke wake inatosha ndo wewe sasa.
 
Me kiukweli alinambia ukweli alitembea na mwanaume mmoja tu na nilimuelewa

Mkuu ni kitu ambacho wanaume wengine kinatuuma tunapotezea tu lakini wengi tulitamani tuwe wa kwanza kwa wake zetu kama mpango wa Mungu ulivyo

Kingine nimegundua kwa sasa wanaume wengi hawana time ya kuangalia past ya mwanamke
Daima wanawake huwa wanasema ameshapita na mwanaume mmoja tu basi. Na ukimuuliza muliachana lini atakwambia miezi kadhaa au mwaka hivi.

Ukweli umesema na hakika haubadiliki!
 
Back
Top Bottom