Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela
Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua.
Hujiulizi ni kwanini Mungu aliweka bikira kwa wanawake?
Yamkini sio kwamba Mungu hakuwapenda wanawake ambao hawakuwa na bikira lakini aliona amtumie Maria ambaye alikuwa bikira ili kupitia yeye Yesu(masihi) azaliwe wala hakutaka azaliwe kwa mwanamke used hujiulizi kwa nini?
Yote 9 kumi mwanaume unatoa wapi roho ngumu ya kuoa single mother kabisa kabisa ni kwamba hata ushauri wa
Natafuta Ajira huuzingatii?
Je mnawezaje wenzetu kuishi na mwanamke aliyetumika nawe ukaamua ukiwa na akili zako timamu kugharamia mwanamke used?
Halafu bahati mbaya kwenye harusi zenu mnachangisha ufadhili maelfu ya shilingi kwa kitu kilichotumika ajabu sana.