Alimaanisha ninkWengi wameolewa na Machenza mpaka sasa ndoa zao wanazitunza na Wangapi wameolewa na machungwa mpaka sasa wameshindwa kizichunga?
Parklane
Alimaanisha ninkWengi wameolewa na Machenza mpaka sasa ndoa zao wanazitunza na Wangapi wameolewa na machungwa mpaka sasa wameshindwa kizichunga?
Parklane
Sawa baba wanneNina ndoa na watoto 4 na alikuwa bikira. Pole kwa kugharimia kitu used
Wanapenda PESA sanaetoNiliwahi kuwa na mahusiano serious na single mother, kwa vijana tunaojitafuta, aisee kaa mbali na single mother 🙌
Hiki ni kochaka chenu Cha kujifichiaUna uhakika baba yako alimkuta mama yako akiwa bikira??
Hembu anza kwanza kuwauliza baba zako.
Mm nilishika adabu kwa yule single mother aisee 🙌Uko sahihi kabisa hawa wanatia huruma ukijichanganya tu imekula kwako period wanaonesha wema na mapenzi ya dhati ili uingie kingi mazima mazima kisha wanakunadirikia juu kwa juu. Utasikia nimempeleka mtoto kwa bibi yake baba mtoto wake kaniambia akamsalimie😂
Hahaha, mkuu kila nikisoma hoja za wadau humu nacheka, wanaume, mbona kama mambo yamekuwa magumu sana? Naona kama wanawake wapo in control, wanasukuma kete balaa, wanaacha vilio tu kwa vijana, hofu makatazo na sheria zimetamalaki.Me kiukweli alinambia ukweli alitembea na mwanaume mmoja tu na nilimuelewa
Mkuu ni kitu ambacho wanaume wengine kinatuuma tunapotezea tu lakini wengi tulitamani tuwe wa kwanza kwa wake zetu kama mpango wa Mungu ulivyo
Kingine nimegundua kwa sasa wanaume wengi hawana time ya kuangalia past ya mwanamke
Polee lol 😅Sitasahau Ile siku aliyoniadisia alivyo pelekewa moto mpaka akasikia kizunguzunguu 😂😂😂
Yani mtuu anakuomba mchango wa harusi unaamua kumpa ela yakutosha alaf siku ya harusi unakuta anaoaa Dem uliekua unambaruza kwa vocha ya buku😂😂Me kiukweli alinambia ukweli alitembea na mwanaume mmoja tu na nilimuelewa
Mkuu ni kitu ambacho wanaume wengine kinatuuma tunapotezea tu lakini wengi tulitamani tuwe wa kwanza kwa wake zetu kama mpango wa Mungu ulivyo
Kingine nimegundua kwa sasa wanaume wengi hawana time ya kuangalia past ya mwanamke
Huwq hawasahau hadi anaingia kabrini. Muda mwingine anakopa hisia kwa ex wakeSitasahau Ile siku aliyoniadisia alivyo pelekewa moto mpaka akasikia kizunguzunguu 😂😂😂
Kifupi tu huwezi kumbadili mwanamke. Iwe kwa sheria ama kwa dini au kijadi huwezi.Hahaha, mkuu kila nikisoma hoja za wadau humu nacheka, wanaume, mbona kama mambo yamekuwa magumu sana? Naona kama wanawake wapo in control, wanasukuma kete balaa, wanaacha vilio tu kwa vijana, hofu makatazo na sheria zimetamalaki.
Hivi katika jamii yetu, nani anapaswa kuwa na hofu ya kupoteza mahusiano kati ya binti na kijana? Kati ya anayehudumia na anayehudumiwa? kati ya mtoa jina la ukoo na mpokea/mwendeleza jina la ukoo?
Sheria za Jamhuri hazina ukomo wa kupeana talaka panapotokea uzinzi, talaka zipo kisheria iwe ulimuoa akiwa bikira, hana bikira au single mama ukitaka kumbadili unambadili saa yoyote kisheria, sasa mbona kama mambo yamekuwa tight sana wanawake wanaogopwa sana? Hahaha, Daah. Kuna nini mtaani?
Inauma sana. Kuna jamaa aliniambia twende kwenye harusi ya ex wake. Ile nafika ukumbi ulikuwa wa kifahari sana .....jamaa akasema leo kapendeza sana wallah😆Yani mtuu anakuomba mchango wa harusi unaamua kumpa ela yakutosha alaf siku ya harusi unakuta anaoaa Dem uliekua unambaruza kwa vocha ya buku😂😂
Siyo kweli. Mwanaume hadi unafikia kuoa ushacheza ligi za kutosha!Siku zote unapata wa kufanana naye. Hiyo ndio principle ya ulimwengu.
Haiwezekani uwe mwanaume au mwanamke malaya kisha upate mtu tofauti na hulka yako halafu mudumu. Lazima hasabu za cross multiplication zitafanyika kisha mtakuwa even.
Lazima muwe kwenye same level vibration ya energy ili mudumu. Malaya atapata Malaya, aliyetulia atapata aliyetulia.
Na huo ndiyo ukweliHiki ni kochaka chenu Cha kujifichia
Hii inahusikanaje hapa au umenukuu wapi nikisema baba alimkuta mama akiwa bikira?Una uhakika baba yako alimkuta mama yako akiwa bikira??
Hembu anza kwanza kuwauliza baba zako.
Kumbadili namaanisha kumuacha kisheria uchukue mwingine, kwanini isiwezekane?Kifupi tu huwezi kumbadili mwanamke. Iwe kwa sheria ama kwa dini au kijadi huwezi.