Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kijana, wanawake hawacheat kwa kutamani tu kufanya ngono kiholela kama wewe mwanaume ambaye kila ukiona sketi imekatiza mbele yako mnara unasoma.Probability ya mke ambae umemkuta bikira kuja kukucheat ni ndogo sana ukilinganisha na yule ambae umemkuta ashatumika.
Mwanamke kajitunza mpaka atakapoolewa kwahiyo hata kikija suala la kukucheat ataona ni kitu ambacho akina maana si unajua ile ya kufikiri i didn't come this far to fvck it up now.
Hali hiyo ni tofauti na mwanamke ambae umekutana nae ashatumika. Huyu ana cha kupoteza, ana mentality kwamba men are replaceable, vilevile ana comparisons kichwani mwake maana bado ana kumbukumbu za mambo yote aliyofanya na maex wake. Kwahiyo huyu anakua na probability kubwa zaidi ya kuchepuka.
Wewe mwanaume ungekuwa unatongozwa na wanawake kama wanawake wanavyotongozwa na wanaume ungekuwa tayari kitambo umeshakata kamba juu ya kiuno ukifanya ngono.