Huwa najiuliza mara nyingi, kwa nini tulipe mahari in this era, ambapo unakutana na binti ametembea na wanaume 10 huko? Unalipa mahari kwa sababu gani hasa?
Manake ni kwamba, ukikutana na binti ameshatu.ika you are not obliged to pay no dowry.
Ninapofanyia kazi kuna binti ana kama mwaka hivi, mtoto wa kiiraqw, naambiwa ameshatembea na vijana/wazee kama kumi hivi, in just one year, hao ni wale waliopo hapo kazini na maeneo ya jirani, hatujui huko anakoishi. Juzi ametolewa posa, tell me me mtu wa namna hiyo unatoa mahari ya nini?
Kuna vitu kama jamii tunatakiwa tupambane vifutwe, kama binti hakujitunza there's no point kumuumiza kijana kulipa mapesa.