Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

Probability ya mke ambae umemkuta bikira kuja kukucheat ni ndogo sana ukilinganisha na yule ambae umemkuta ashatumika.

Mwanamke kajitunza mpaka atakapoolewa kwahiyo hata kikija suala la kukucheat ataona ni kitu ambacho akina maana si unajua ile ya kufikiri i didn't come this far to fvck it up now.

Hali hiyo ni tofauti na mwanamke ambae umekutana nae ashatumika. Huyu ana cha kupoteza, ana mentality kwamba men are replaceable, vilevile ana comparisons kichwani mwake maana bado ana kumbukumbu za mambo yote aliyofanya na maex wake. Kwahiyo huyu anakua na probability kubwa zaidi ya kuchepuka.
Unachanganya bikra na kujitunza mkuu. They are not the same thing. Halafu, on average, mwanamke aliye kwenye ndoa ni ngumu sana kuchepuka, ukilinganisha na sisi wanaume. Pia siyo kila mwanamke mwenye historia ya kuwa na wanaume kadhaa anaendeshwa na hiyo historia.
 
Mwanamke uliyemkuta sio bikra ili aweze kuishi na wewe bila kuchepuka lazima uwe na sifa za kuwazidi wale wote aliotembea NAO,

kinyume chake ataishi na ww kwasababu wale hawakumwoa, ameshafanya Kila aina ya uchafu harafu wewe unaweka heshima kwakuwa ni mke, anakuchora tu harafu anakuona kama boya furani, akikutana na x wake ni kuwapa stori za urofa wako kitandani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Hata hivyo wapo ambayo wamingia kwenye tabia hizo Kwa bahati mbaya na wengependa watulie Tena wengi TU , Ukmpata WA hivyo mtadumu hawezi kukuchiti
 
Wanawake wana sababu nyingi za kucheat, Kutolewa Bikira ni mwanzo wa kufanya ngono bila kujali sababu ya huo mwanzo ni ndoa au la. Jamii ya sasa Hakuna guarantee kuwa mwanamke anayeanza ngono kwa kusaini karatasi za ndoa hatofanya ngono na mwanaume tofauti na aliyeanza nae.
 
Ila ukweli utabaki palepale kuoa mwanamke aliyetumika ni uchafu na anauwezekano mkbwa wakuchepuka kwasababu hata wewe umemkuta katika utaratibu huo, ila yule Ambae ulimkuta Bado anapasenti ndogo sana ya kuchepuka, fuatilia tafiti nyingi zinaonesha hivyo. Wanaume wengi tunapinga hapa kwenye jamvi kwasababu tumeoa ndaza. Harafu mazingiria ya nchi maskini wanawake wanafasi ndogo ya kujitunza hii nikutokana na umasikini na malezi mabovu Binti WA miaka tisa unakuta ameanza ngono Kwa hiyo tutaendelea kuoa Malaya TU a. K.a ndaza
Binafsi sipingi sababu ya status kama unavyohisi, napinga sababu ya uhalisia wa jamii. Kizazi hiki hakikupi guarantee ya uaminifu kupitia bikira, mambo ni mengi na sababu za uzinzi ni nyingi sana.

Ndoa sio kiungo kwamba kikikatika ndo basi, kama bikira ingekuwa suluhisho la matatizo ya uzinzi wanaume wangeacha wake zao waliowakuta si bikira wakaenda vijijini kutafuta bikira ila kufanya hivyo si guarantee.
 
Unachanganya bikra na kujitunza mkuu. They are not the same thing. Halafu, on average, mwanamke aliye kwenye ndoa ni ngumu sana kuchepuka, ukilinganisha na sisi wanaume. Pia siyo kila mwanamke mwenye historia ya kuwa na wanaume kadhaa anaendeshwa na hiyo historia.
Na kingine ambacho wanachanganya:

Hoja si usahihi wa kuoa bikira, Kuoa bikira ni jambo zuri kabisa na sahihi, Hoja ni bikira ni tiketi ya kutokuzini kwa mwanamke? Jibu ni hapana.
 
Unaumia sana mada kama hizi zikiletwa ni kwamba wewe kwa kule kwetu ni mkweche ushaliwa sana
Niumie? Wee kweli taahira.!!

Mi nafikiri mtu pekee wa kuumia ni wewe ambaye humjui baba yako that’s why unatafuta bikira ili walau ufidie machungu ya kuzaliwa na kahaba..!! 😹😹😹
 
Awe bikra asiwe bikra..what matters the most ni feelings..kama kweli anakupenda na unaona..vuta chuma kula maisha..

Wewe sio wa kwanza kuoa asiye na bikra na hautakuwa wa mwisho.
 
mahari ni utaratibu ambao wewe unakuwa umekubaliana nao mpaka unaamua kuilipa. Hata wewe unayetetea wanaume wasitoe mahari wewe ulitoa kwa huyo mwanamke uliye naye! Nikikuuliza kwa nini ulimtolea mahari mke wako? Hapo unatokaje?
Mwanamke ambaye hukumkuta bikra inamaana alishindwa kujitunza na kujiheshimu kama alishindwa kujitunza je atawezaje kutunza watoto na familia yake?
 
Mwanamke ambaye hukumkuta bikra inamaana alishindwa kujitunza na kujiheshimu kama alishindwa kujitunza je atawezaje kutunza watoto na familia yake?
na aliyebakwa? Namaanisha aliyeshawishiwa kufanya mapenye under the right age tunaita ubakaji,hao unawazungumziaje?
 
Niumie? Wee kweli taahira.!!

Mi nafikiri mtu pekee wa kuumia ni wewe ambaye humjui baba yako that’s why unatafuta bikira ili walau ufidie machungu ya kuzaliwa na kahaba..!! 😹😹😹
Unajichekesha kama mwehu wakati wewe ni mkweche...mimi nimezaliwa kwenye familia yenye maadili sikuzaliwa na mama tahira kama mama yako mzazi ndio maana mama yangu alinisisitiza nisioe mkweche kama ulivyo wewe na mama yako mzazi
 
Mkweche ni mama yako aliyepanua nyuchi kwa wanaume wa vilabuni akakuzaa bila bismilahi, umejaa trauma kila mwanamke unayemuona unahisi anafanana na mama yako Asha jibwa..!!

Lazima akusisitize coz yeye ni malaya..!! 😹
 
upo period?
 
Back
Top Bottom