Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Humu ndani kuna vituko,eti amushirikishe Mungu!,sasa huyo Mungu kwa nini aumbe wanawake wengine tabia nzuri na wengine mbaya-ili iweje.
Life is game of chance ikiwa bahati yako utapata mzuri,na ikitokea vinginevyo basi haikuwa bahati.
 
Upewe tuzo 😂😂😂
Mikoani hujaweka machimbo ya “Maafisa utamu)
Wasaidie wenzio wanaosafiri safiri
 
Ulifichwa wapi my wii
Wifi nimekuota huwezi amini, tena mjamzito umevaa juba ukanifunulia ndio nikaona kitumbo 😍😍😍

Nipo sema pesa hizi kuzitafuta zitanitoa roho, kudanga siwezi na kumuomba pesa mwanaume sipendi hivyo lazima nijichoshe mwenyewe..🤣🤣🤣
 
Huu mwaka wa kufos my Wii pambana

Hapo kwenye mimba ndipo napopatka my Wii ndoto Yako iwe kweli 😍
 
Upewe tuzo 😂😂😂
Mikoani hujaweka machimbo ya “Maafisa utamu)
Wasaidie wenzio wanaosafiri safiri
Kiukweli addiction ya kununua maafisa utamu ni addiction ya aibu sana, imagine kidume uko hiyo mitaa una-bargain bei, halafu barabarani anapita mdada unaefanya nae kazi ofisi moja, anakuona umesimama na afisa utamu una-bargain bei, daah Lamomy
 
Aseeeeee! Ni neema za MUNGU tu. Pia sio kwamba ndani hakutokoti ila nikuvumiliana tu. Ukitaka MKE mwema undoa mawazo ya shape na sura, hapo utafaulu vizuri sana
 
Mkuu NTAKUPA WA KUFANANA NAE hapa s comedy weng hawajapata hii bahati,,, utuliv wa nafsii,,,iman ya kwel,,,ufaham maarifa,,mungu ATUSAIDIE mkuu hawa viumbe wazuri wapo,,,
 
Ukweli ni Kwamba Kuna mambo unaweza kuona ni rahisi ila muda unapofika Sasa na ukawa na hitajio kama kuoa ndipo unapoona kazi ya kupata mke ilivyo ngumu. Yani unakutana na mabint ambao unaona kabisa Hana future. Mi mwenyewe nipo ktk mchakato Hadi sielewiiii
 
It take a time wakt mwingn mwanamke kukaa kwenye mstari yupo ex grl wangu mmoja tulianz huku akiwa na tabia zakimalaya malaya mwisho wa siku alianza kujiweka kwenye mstari kama abiria wa mpigi magohe TIME WILL TELL UMASKINI NA KUKOSA AJIRA NAPO NI TATIZO
 
Duuh
 
Nilizani ni mimi tu napitia hii, , nilikuwa na options nyingi sana kipindi sijawa na habari ya kuoa, wanawake wengi wazuri na tabia safi nilikua sihangaiki kuwapata na wengi walikua tayari kuolewa kwa wakati ule sasa toka wazo linijie ni kama nishachelewa yani woote wa maana ni mwingine keshaolewa, mwingine single mother , mwingine keshakua na mambo mengi , dah! ata sielewi elewi na muda naona ka unasogea kwa kasi
 
Ukishindwa nenda kanisani utapata walau ambaye ana hofu ya Mungu

Binadamu hatujakamilika ila bora ambae pamoja mtasogezana karibu na Muumba kuliko yule ambaye atakuacha unatanga tanga huko kwa mataifa
Huko kwenye makanisa ndio kuna drama kuliko wanawake wa baa,
Unaweza kumuona ana hofu ya mungu kumbe mwenzio kaamua kurudi kanisani baada ya mambo kushindikana mtaani, full mapicha picha.
Kupata mwanamke bora ni game of chance, hakuna kanuni
 
Mzee iko hivi issue ya kuoa ni ngumu sana, ujue kabla hujaamua kuoa unaona wanawake ni wengi sana, ila siku ukisema sasa unataka kuoa utabaini wanawake ni wachache sana, nadhani unapitia what am experiencing now, mwingine atakwambia uende kanisani, it's not a guarantee aisee.. mimi nasali na ni mshirika mwema tu , bt you facing the same challenge, Tuzidi kuwa na subira huku tukimtanguliza Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…