Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Kaa tulia,andika mahitaji yako unataka mke wa vipi,shirikisha mamlaka zako za juu yaani Mungu au vyovyote muombe Sana Mungu,mke na malezi havina ufundi Ila vinawezekana Kwa kumshirikisha Mungu na pia mke anatengenezwa,sio mke atakae kuja atakuwa na kila ulichokitaka Ila ndio ameletwa na Mungu badae kila mtu atamuelewa mwenzie! Ila usisukumwe na muda Kwa kuwa Una haraka ya kuoa umri imefika ukahisi kila mwanamke ukimkuta barabarani unaweza kumuoa! Kumbuka unatafuta mtu WA kuishi nae maisha yaliyobaki Kwa hiyo Ka mzigo kadogo Kwa kuwa safari ni ndefu unaweza his kana bebeka kumbe ni kazito Kwa kuwa unaenda nako mbali,kuwa mpole,nenda taratibu,tumia hekima kubwa ila Mungu kwanza
Safi nimependa vile unamtanguliza mungu mbele na hio ndio Siri kubwa
 
Hivi kupata Mwanaume bora na kupata Mke bora kipi kigumu 😀.

Mm nimwanaume lkn, nahisi kuoata Mume bora ni ngumu, kwa sababu Mwanaume ni package kubwa kuliko mwanamke.

1. Uwe na hela
2. Uwe na upeo mkubwa wa akili
3. Uwe smart
4. Uwe na nguvu za mwili

Kigezo cha mwanamke,
1. Uwe mke mwema 😀, tabia njema, sijui kujali watoto, kujua kupika, kufua, utiifu all of which are purely qualitative na mwanamke anaweza akafake.

Any way natafuta mke, no. ni ile ile ya siku zote
 
Habarini,

Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume wengi tu wako kwenye umri wa kuoa, wana kazi nzuri tu, ila bado wapo single, sawa huenda mimi nina tatizo (personality problem) ndo maana sipati mke, lakini je hata wanaume mabachela naowajua nao pia wote wana tatizo?

Mdada ambaye atakuchukulia kama a friend and a life partner, muanze familia from the scratch hadi mzeeke pamoja, mwanamke ambaye sio lazma awe mzuuuri, awe tu mwenye mwonekano wa kawaida unaoridhisha na tabia inayoridhisha, wanaume wenzangu mliooa wadada wa hivyo, mliwapata wapi?

Huku mtaani all I see ni wadada ambao wanataka ku-suck life out of you wakuache empty, naishia kuona wadada ambao wanataka financial help na sio love.

Mfano imagine unamwita mdada uliezoeana nae tena mnaishi mtaa mmoja, aje barabarani uliposimama mpige tu story, anakuuliza akija utampa nini, na hujamwomba namba na hujawahi mtongoza, u can imagine jinsi wadada wengi walivyo sick kitabia huku mtaani.

Weekend njema
Hakuna mwanamke perfect au mwenye ubora au sifa ambazo wanaume wanao owa wanataka. Cha mhimu mwanaume unaamuwa tu vitu kumi mhimu unavyo taka kwa mwanamke awe navyo. Na katika votu hivyo kumi tick viwili tu ambovyo ni lazima basi ukiona mwenye navyo viwili katika kumi chukuwa huyo . Vingine ambavyo hana jifuze kuishi bila hivyo vitu . Kumbuka hata mke aliye kukubali naye alikuwa na vitu alitamani uwe navyo, lakini hauna na amekubali kuwa hauna .
 
Habarini,

Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume wengi tu wako kwenye umri wa kuoa, wana kazi nzuri tu, ila bado wapo single, sawa huenda mimi nina tatizo (personality problem) ndo maana sipati mke, lakini je hata wanaume mabachela naowajua nao pia wote wana tatizo?

Mdada ambaye atakuchukulia kama a friend and a life partner, muanze familia from the scratch hadi mzeeke pamoja, mwanamke ambaye sio lazma awe mzuuuri, awe tu mwenye mwonekano wa kawaida unaoridhisha na tabia inayoridhisha, wanaume wenzangu mliooa wadada wa hivyo, mliwapata wapi?

Huku mtaani all I see ni wadada ambao wanataka ku-suck life out of you wakuache empty, naishia kuona wadada ambao wanataka financial help na sio love.

Mfano imagine unamwita mdada uliezoeana nae tena mnaishi mtaa mmoja, aje barabarani uliposimama mpige tu story, anakuuliza akija utampa nini, na hujamwomba namba na hujawahi mtongoza, u can imagine jinsi wadada wengi walivyo sick kitabia huku mtaani.

Weekend njema
Look! Kama umepata fursa yakusoma angalau kidato cha nne utakutana na theories mbili muhimu! Survival for the fittest; na struggle for existence! Dunia hii ili uhimudu inabidi huwe na nguvu! Mwanaume unatakiwa uwe na nguvu nyingi kumzidi binti unayetaka kumuoa kiasi kwamba akija au akipata nafasi ya kuongea na wewe, huyo binti ndo atakuwa na struggle ya wewe umpende na kumuoa! Ndo maana vijana au mwanaume tunawaambia "tafuta hela". Wanawake ni kama kuku uliyemfuga yeye kuishi au kuchinjwa kwake sio issue kwasababu mwanamke haishi kwa maono, anaishi maisha ya sasa (wakati huo huo) hawazi mstakabali. Mimi nilivyokuwa kijana najitafuta sikuwa mnyonge kiasi kwamba nikimleta manzi ghetto mara ya kwanza, ya pili, ya tatu nikija kushtuka nakuta nguo zake nyingi anaanza kuhamishia ghetoni kwangu na wakati mwingine hataki kurudi kwao! Vijana tafuta hela mabinti watakugombania!
 
Kwa anayetarajia kuoa: funga, sali na toa sadaka Mungu atakupa wa ubavu wako.
Ukijitwalia asiye wa ubavu wako utalia maisha yako yote.
 
Don't waste your time on this nonsense struggle saka chapaa kama mwehu achana nawanawake kuna maisha after bedtime utagongewa na sio mlango
Mm swez waste my time looking for a woman to marry or begging Jah to send me one that is rubbish
Always eyes and mind on money money never cheat never lie take it or leave it is up to you and your family
 
Back
Top Bottom